Bashiru Ally ulitakiwa uanike wazi madudu ya akina Nape CCM ona saa hii wanavyotamba utafikiri wasafi

Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani
Ccm ni ukoo wa panya hakuna aliye msafi wote wana kitu ambacho wameiba.
Hata wewe Pasco enzi za kina bashiru utakuwa ulikula rushwa.
 
Nimeongelea kuwa hawakutenda haki yeye na Magufuli pia na Mama Samia ile ripoti baada Raisi na makamu wake Samia na Bashiru walitakiwa wa take action bila kujali tofauti zao na mitizamo yao kwa faida ya nchi na chama

Na blame wote.Mama Samia ripoti anayo aibwage hadharani sababu Magufuli kafa aseme tu kila aliyetajwa ripoti vyombo vya dola wale naye sahani moja Ni kubwagia Hilo ripoti vyombo vya dola biashara imeisha atakuwa kasaidia nchi kupata wabunge na viongozi waadilifu .Hilo tabu amtupie kamanda Sirro
Unaweza kuwa sawa Ila hakuna mwanasiasa msafi so akifamya hivyo ahakikishe hatoki madarakani kama alivyotaka kufanya Magufuli.
 
Huyu Bashiru Ally akae kimya milele tena ikiwezekana amfuate mwendazake wakaunde chama wamwite na polepole awe mwenezi maana huku wamebaki wanatupotezea muda tuu shameless people
 
Kwani ni awamu gani ambayo haikukopa? Bora JPM alikopa Trillion tisa na bado inaonekana matumizi yake kuliko wale waliokopa trillions of money na bado hatukuona chochote cha maana kilichoendana na thamani ya mikopo yao.
JPM alikopa na kufufua kila kitu kilichosababishwa kufa awamu zilizomtangulia na matokeo yalionekana, wanaolalamika dhidi ya awamu ya tano ni majizi yaliyokubuhu tena ni bora hata kesi zao zikafufuliwa maana alizizima JPM mwenyewe kwa kuwahurumia.

Nape, Kichere, Assad na wengine wenye hulka kama hizo wanachuki binafsi dhidi ya hayati JPM maana aliwatoa kwenye nafasi ambazo ndizo walikuwa wanazitumia kupenyeza uovu. Wanapambana na mfu, wachimba kaburi, waombolezaji, wapiga kura wake, wasaidizi wake walio hai nk kujisafisha kisiasa lakini hili halitawezekana na litasababisha mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wananchi hadi kufikia hatua ya ubaguzi wa bayana, kuchochea uharifu na uonevu
 
Kabisa. Watanzania siyo wajinga na hatujasahau ufisadi walioufanya awamu ya nne.
 
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani
Mwarobaini wa haya majizi ya ndani ya vyama ni serikali kutotoa ruzuku kwenye vyama vya siasa, kila chama wajitafutie pesa zao za kujiendesha, kama ni kuuza vitumbua au ubuyu haya......
 
Miafrika ndivyo ilivyo, choyo, ngono, chuki, ulevi, ubaguzi , kupenda madaraka, kupenda majisifu, kuonea wanyonge , uongo, utapeli, wizi,
 
Mwarobaini wa haya majizi ya ndani ya vyama ni serikali kutotoa ruzuku kwenye vyama vya siasa, kila chama wajitafutie pesa zao za kujiendesha, kama ni kuuza vitumbua au ubuyu haya......
Waanze CCM,wala wasitumie vyombo vya nchi
 
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani

Si aanike hata sasa kwani alikwisha kwenda zake?
 
Kifupi amewahiwa kabla hajafunga mlango...alipaswa sasa aite press moja yeye natimu yake wamwage upupu na kujiuzuru nyadhifa zoote walizonazo... ikiwezekana waanzishe chama chao kwa siri then baada ya kumwaga upupu wanakwenda huko wasirogwe kujiunga na hivi vyama CDM au ACT vyote hivyo ni mamluki..

Hii itawasaidia kuendeleza credibility yao na kuendelea kuwapopoa hao uliowataja na wenzao......
Ulivyojikakamua utadhani umeeleza bonge la point
 
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani
mfeee .....tafadhari endeleeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom