Bashiru aanza ziara Kigoma, Zitto Kabwe azuiwa kufanya mkutano

USSR,
Nimesema mara nyingi humu jamvini ! Zitto Zuberi Kabwe ni mwanasiasa mnafiki hakuna mfanowe ! Kila siku anashinda mitaa ya Twitter na Kona za Instagram kusogoa na wenzie kina Fatuma karume...., kasikia Dr. Bashiru anaanza Ziara kigoma huyo ghafla kaibukia mitaa ya ujiji ! Hovyo kabisa huyu jamaa ! Eti anaenda kuwatumikia wapiga kura wake, hovyoo ! Kumekucha ndio anapapasa kutafuta shuka ! Khaa!
 
Kwani Zitto Kabwe anavyowanyonya Madiwani na kuwalazimisha wakubaliane na Mawazo yake ni haki na haki ya aina hiyo umejifunzia huko kuwaahidi Madiwani kuwapatia 10% kutoka kwenye miradi mikubwa ya Serikali. Pia hata unavyoonesha ni Msukule wa siasa hujui kinachoendelea.
Mimi sijui unamaanisha nini unaponiita msukule wa siasa, ila haya nakuachia mwenyewe. Niseme tu ni kweli sielewi kinachoendelea na hasa nikiwaona hawa jeshi la polisi ambalo tunaelezwa kwamba wao kazi yao ni kutulinda na mali zetu, lakini tunaona wanafanya kinyume chake. Kazi moja ya polisi ni kuhakikisha usalama wetu, lakini hebu acha kubisha ni mtanzania gani leo hii atakae amini kama yuko salama?

Si tumeshuhudia matukio tofauti yakitokea ya watu kupigwa risasi mchana kweupe na kutekwa na kupotezwa watu? ni msaada gani uliopatikana kutoka kwa hili jeshi la polisi?

Hebu tunaomba maelezo kutoka kwako wewe muelewa wa mambo ya jeshi la polisi usiekuwa msukule wa siasa!
 
Nimesema mara nyingi humu jamvini ! Zitto Zuberi Kabwe ni mwanasiasa mnafiki hakuna mfanowe ! Kila siku anashinda mitaa ya Twitter na Kona za Instagram kusogoa na wenzie kina Fatuma karume...., kasikia Dr. Bashiru anaanza Ziara kigoma huyo ghafla kaibukia mitaa ya ujiji ! Hovyo kabisa huyu jamaa ! Eti anaenda kuwatumikia wapiga kura wake, hovyoo ! Kumekucha ndio anapapasa kutafuta shuka ! Khaa!
Kwa taarifa zilizopo ni Kwamba Zitto Kabwe ni Kitu ya Watu. Maalama yaliyomjaa usoni ni oil ya Kumlainisha asiumie jamani. Kule mlaini lakini Sura imeharibika saaana ukimwangalia kwa karibu utafikili Sukul
 
Hakuna sheria inayozuia vyama kufanya siasa ni udikfeta tu wa huu utawala usioyofuata sheria.

Kama tungewekewa vikwazo kama Zimbabwe, ingekuwa ni blessing in disguise.

Akina Bashiru wanahangaika kila siku kuzunguka nchini wakijua wazi kuwa wanayofanya kwa kisingizio cha maendeleo hayana impact yoyote kwa wananchi. Hawa ni watu bure kabisa.
 
Zitto ni pumbavu sana,anataka kupima upepo wa ndagu zake dhidi ya CCM fala kweli,asubiri kwanza wanaume wamalize ziara aje kupaka kinyesi kama kawaida yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niachie tu kusoma...maana mnakera sana.Sema dawa ni moja tu kua ipo siku mtazikwa..ingekua kua watazikwa wanao onewa tu ingekua vibaya lkn mwisho nanyi mtafukiwa udongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kutokana na sababu za kiintelijensia kama ilivyotolewa kupitia barua ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kigoma Ndg. Mayunga.

Dr. Bashiru baada ya kupokewa Kigoma, ataelekea eneo la Kazuramimba Wilaya ya Uvinza kwaajili ya mikutano ya ndani.

Akizungumzia kuzuiwa mkutano wa Zitto, Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mawasiliano wa ACT, Bwana Addo Shaibu, amesema sababu zilizotolewa na polisi hazina mashiko na zinalenga kumzuia Zitto asikutane na wananchi wa jimbo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ujinga, uzandiki, uhuligani, uchawi wa CCM na Polisi wao! Wanathibitisha walivyo wajinga, wanazidi kujivua nguo mbele ya dunia! Kote alikofanya mikutano Bashiru hajawahi kuzuiliwa....huu ni zaidi ya upupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona wala kusikia hii, yaani polisi wa Tanzania wanalinda usalama wa kiongozi wa upinzani, na wakati wamepewa homework ya kuua viongozi waandamizi wa upinzani.
 
Back
Top Bottom