mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 686
- 953
Kweliii pambabania haki za wanyonge
Vigezo na masharti ya wizi?Je mmesoma vigezo na masharti ya hivyo vifurushi vyao?
Pole japo leo ni November 9 2019Dah! Nimechelewa washazichukua.
Hakika muranoKuna siku titamuelewa tu huyu SUPER HERO baada ya changes kufanyika
naomba viwango vya bando zaoHayo makampuni ulyoyataja ni wezi waliokubuhu, T.C.R.A wamelala au hawajali. TTCL wapo vizuri kwenye bundle zao, hawana kikomo.
asante mkuu nilishaponaPole japo leo ni November 9 2019
Hii ndio sababu imenifanya nimehamia Zantel, japo nachekwa na watu ila huku ninathaminiwa tofauti na huko kwengine kwa vibaka wazoefu tigo,voda ama halotel. Siwatumii hao mbwa, huku nilipo ni Unlimited offers tu.Mkuu siku hizi halotel wanalamba mb utadhani jini makubla
Anajifanya mgeni, afanye huo utoto Voda ama Tigo ili ajionee miujiza kama ajakutana na "Salio la akaunti yako ni Tshs 1.09"thubutu yako!
weka 500 utulie siku tatu utakuta 00 hata kama hujabip.
Youtube inakupa quality kutokana na speed ya mtandao wako. So unataka anaeplay video ya 4k na anaeplay video ya 240p wakatwe mb sawa? Kama speed yako ni kubwa youtube watakupa quality nzuri na mb zitaenda nyingi na kama speed ni ndogo utapewa quality ndogo na mb zitaenda kidogo otherwise manual uchague quality ya video.Wewe utakuwa kibaraka wa hao mafisadi wa mitandao ya simu. Unatetea upumbavu kuwa umepewa GB utazi monitor kwa apps za simu? Nonsense!
Ukitaka kujua kuna shida mahali nunua bundle Voda na Halotel kwa ujazo sawa, aidha 1GB kisha play content ya kule Youtube kwa pamoja halafu tazama kama zile data packs zitaisha sawa kwa mitandao hio miwili.
Zantel vifurushi vyao vipo vipi kwa sasa?Hii ndio sababu imenifanya nimehamia Zantel, japo nachekwa na watu ila huku ninathaminiwa tofauti na huko kwengine kwa vibaka wazoefu tigo,voda ama halotel. Siwatumii hao mbwa, huku nilipo ni Unlimited offers tu.
Alichomaanisha Extrovert ni ile ceteris paribusYoutube inakupa quality kutokana na speed ya mtandao wako. So unataka anaeplay video ya 4k na anaeplay video ya 240p wakatwe mb sawa? Kama speed yako ni kubwa youtube watakupa quality nzuri na mb zitaenda nyingi na kama speed ni ndogo utapewa quality ndogo na mb zitaenda kidogo otherwise manual uchague quality ya video.
Hakuna shida yoyote hapo ni matumizi yetu tunasingizia mitandao ya simu.