Bashe: Bilioni 119 zimenunua mazao ya nafaka kwa mwaka wa fedha 2021/2022

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA

"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya ndani na nje ya Nchi" - Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe

#LeoBungeniJijiniDodoma

IMG-20211108-WA0136.jpg
 
Wakulima wa tumbaku leo hii wengine wanalia hawajalipwa fedha zao.

Maana wizara ya kilimo inatakiwa kuwajali wakulima kwa umoja wao
 
Back
Top Bottom