kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Sorry who is Mohamed bashe?
Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha
sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea Wassira akuachie nafasi kweli....?? niwapumbavu tu...
Bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.