dative dogo
Member
- Jan 22, 2013
- 10
- 90
Nimemsikiliza kwa makini sana Hussein Bashe kwa uchambuzi mzuri alioufanya kuhusu trend ya uchumi hapa nchini, inasikitisha sana tena sana. sasa nikajiuliza Hivi ingekuwaje maneno haya angeongea Zitto Kabwe? Hebu tazama video