Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
dalili za kifo chenyewe hakika kila mmoja wao atanena
la kwake ili kuonekana mwema machoni pa wananchi BUT its too late!!
la kwake ili kuonekana mwema machoni pa wananchi BUT its too late!!
Al shabab ni wewe na mama yakoHuyu Al Shabab nae hana jipya anatapa tapa tu...Zambia anaijua leo! ilishindwa UNIP ya mzee Kaunda iliyoleta uhuru huko na bado ccm ikawa pale pale,sasa kutoswa Rostam Leo ndio ccm ishindwe?
hii inaonesha una personal issue na bashe. Alichosema ni kweli na mimi binafsi mmenichosha, badala ya kujadili na kutatua matatizo ya nchi hii kmo bize kuvuana magamba kinafiki. Serikali gani mnachezewa hata na wasafirisha mafuta?Huyu Al Shabab nae hana jipya anatapa tapa tu...Zambia anaijua leo! ilishindwa UNIP ya mzee Kaunda iliyoleta uhuru huko na bado ccm ikawa pale pale,sasa kutoswa Rostam Leo ndio ccm ishindwe?
Kimsingi jamaa ametoa ushauri mzuri kwa chama chake. Ila ninamambo mawili ninayoweza kuzungumzia kutokana na ushauri wake.
1. Ana historia ya kusukumwa na siasa za makundi kwenye chama chake pa1 na hasira ya kupokwa nafasi ya kugombea ubunge. Hii inatupa mashaka ya kujiuliza kama anamaanisha anachokinena au ni mashambulizi kwa makundi wanayohasimiana. Hapo mashaka yanazidi matumaini!
2. Ushauri wake kwenye chama umechelewa sana hasa ukizingatia kwamba ccm ni kama mgonjwa aliyerudishwa nyumbani! Hakuna tiba tena. Inasubiri kifo tu. Ameshapewa kila dawa (ushauri?) lakini haiponi. Kwa kifupi tunajipanga na maisha yetu baada ya ccm kuanguka! Nadhani ushauri ungeifaa zaidi chama kinachotarajia ku"succeed" ccm ili nchi istawi. Kuishauri au kuisaidia ccm ni sawa kabisa na kwenda kucheza bao au draft kwa maana ya kupoteza muda!