Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mbunge Husein Bashe amehoji nini dhamira ya watu waliopo wizara ya fedha na wanavyofikiria anasema mapato yemepungua kwenye PAYE, Domestic VAT, VAT on imports, Withholding Tax, Corporate Tax, Domestic Exicse Duty, Mapato ya bandari yameshuka kwa asilimia 13 na kuhoji wataenda kukusanya wapi kodi
Ametolea mfano wa TBL ambae ni mlipa kodi mkubwa kodi yake imeshuka kwa bilioni 50 sababu ya kuwekwa kwa Excise duty,
VAT on imports na Mapato ya bandari yemeshuka kwa 13% kwa sababu ya VAT on imported goods na kuwauliza tena wanatoa wapi mawazo yao?
Wafanyabishara wanalalamika juu ya kodi nyingi za serikali lakini serikali haiwasikilizi, mdau mlipa kodi mkubwa kama TBL anayenunua mazao kutoka kwa wakulima akiwaambia seriakali juu ya madhara ya kodi yao hawasikii
Ripoti ya wizara inaonyesha Biashara 7700 zimefungwa na madhara yake kwenye uchumi yanaonekana ila kuna biashara mpya zaidi ya 200, 000 ambazo wizara inadai zimezaliwa ila impact yake kwenye uchumi haionekani
Amesema serikali ikae na walipa kodi wakubwa ili wajue namna ya kuongeza kodi kutoka kwao wawafanuyie nini