Bashe alivyoukwaa uenyekiti wa UVCCM kwa njia za panya

EL ndo pekee anaweza kurekebisha makosa ya rafiki yake kwa miaka kumi. Wengine wote ni watu wa visasi tu. Tumpe nchi muone mambo. Kifupi hatutaki tena rais maskini maana nae hatatulia mpaka ajenge kwao.
 
Hata Nyerere naye naye ni wakuja.... kwa kifupi marais wazawa pengine ni JK na Ruksa tu kama na wao hamtawapa kashfa ya uraia.
 
Nimewahi kukutana na Bashe mara kadhaa na kujadili nae mambo mengi tu. Nilichogundua jamaa ana kipaji cha uongozi, mambo ya uraia ni siasa chafu tu alishathibitisha anaepinga ktk hilo atakua ana matatizo. Mimi sio magamba ila jamaa namkubali, Bashe is very talented tatizo yuko sehemu inayonuka na ana ukaribu wa kifamilia na watu wanaochukiwa Bongo plus asili yake da! Akiweka karata vizuri anaweza kua Obama wa bongo!
 
Hussein Bashe alikuwa ni mgombea wa kinyang'anyiro cha uenyekiti wa UVCCM kabla ya nafasi hiyo kutengwa kwa ajili wa wagombea kutoka visiwani. Alipojaribu kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti alishindwa kutamba mbele ya Benno Malisa. Lakini kwa ustadi mkubwa muungwana huyu ameweza kutumia werevu wake na ukaribu wake na mafisadi wakwasi na kuwafanya wamteue kuwa mwenyekiti wa kukusanya maoni juu ya namna UVCCM inavyoweza kujibadili na kuwa ya kisasa. Katika kamati hii ambayo katibu wake ni katibu mkuu wa UVCCM Martine Shigela, yeye ndiye msemaji mkuu na sasa yeye ndiye msemaji mkuu wa UVCCM na hawa akina Shigela na Malisa sasa wanaripoti kwake.

Inasemekana sasa hivi yeye ndiye anayeendesha jumuiya hiyo kwa fedha anazozipata kutoka kwa wakwasi hao na hata ziara za Benno Malisa sasa hivi zimekuwa zikiandamana na Fred Lowassa, Bashe na girl friend wa Malisa Mboni Mhita. Hawa ndiyo wanaomfadhili Malisa na kumpangia nini cha kufanya na kuongea. Kimsingi Bashe na wakwasi wake wamefanikiwa kuigeuza UVCCM kuwa mdomo na chombo cha Lowassa na kwa njia hii Bashe amefanikiwa alichokuwa anakitafuta kwa muda mrefu, tena bila jasho. Hili limewezekana baada ya kubaini udhaifu na njaa ya Shigela na Malisa.
tutolee upupu wako uliotumwa na NAPE
 
Kweli hii nchi haijawahi kuishiwa vituko.

Hawa uvccm si ndio walikuwa wakimshambulia FTS na ENL kwamba rais wa nchi hii 2015 hawezi kutoka kaskazini? Kwamba rais ajaye ni ,mwenyekiti wa ccm JK ndiye anamfahamu.

Sasa mara hii tena wameshahamia kambi ya kaskazini? Kweli njaa nyingine mbaya sana. Hatahivyo ni bora mara mia moja rais ajaye atoke kaskazini kuliko ukanda wa pwani. Ndugu zangu wa ukanda wa pwani mtanisamehe bure kwa hili.
Tata Mwita maranya huu ukabira unautowa wapi mura. mzanaki aliukataa na kesho ni annivesary yake"tigha mbani."
 
Hussein Bashe alikuwa ni mgombea wa kinyang'anyiro cha uenyekiti wa UVCCM kabla ya nafasi hiyo kutengwa kwa ajili wa wagombea kutoka visiwani. Alipojaribu kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti alishindwa kutamba mbele ya Benno Malisa. Lakini kwa ustadi mkubwa muungwana huyu ameweza kutumia werevu wake na ukaribu wake na mafisadi wakwasi na kuwafanya wamteue kuwa mwenyekiti wa kukusanya maoni juu ya namna UVCCM inavyoweza kujibadili na kuwa ya kisasa. Katika kamati hii ambayo katibu wake ni katibu mkuu wa UVCCM Martine Shigela, yeye ndiye msemaji mkuu na sasa yeye ndiye msemaji mkuu wa UVCCM na hawa akina Shigela na Malisa sasa wanaripoti kwake.

Inasemekana sasa hivi yeye ndiye anayeendesha jumuiya hiyo kwa fedha anazozipata kutoka kwa wakwasi hao na hata ziara za Benno Malisa sasa hivi zimekuwa zikiandamana na Fred Lowassa, Bashe na girl friend wa Malisa Mboni Mhita. Hawa ndiyo wanaomfadhili Malisa na kumpangia nini cha kufanya na kuongea. Kimsingi Bashe na wakwasi wake wamefanikiwa kuigeuza UVCCM kuwa mdomo na chombo cha Lowassa na kwa njia hii Bashe amefanikiwa alichokuwa anakitafuta kwa muda mrefu, tena bila jasho. Hili limewezekana baada ya kubaini udhaifu na njaa ya Shigela na Malisa.
Hapo ndo wameharibu kabisa. Bashe msomali au al shaababu kama ndugu yake Adeni Rage? CCM imeoza haina pa kukimbilia kwanza suala lauraia bado tuna utata nae. Awe macho.
 
Huyo muungwana ni mzaliwa wa Nzega lakini Uraia wake una 'UTATA' mkubwa mpaka pale atakaporekebisha nyaraka zake kwa kufuata utaratibu wa kisheria uliowekwa...na kama asiporekebisha nyaraka zake bado atalazimika kuendelea kuwa mpiga kelele huko majukwaani na kamwe Chama chochote kile cha siasa hakitaweza kumsimamisha kama mgombea kwenye uchaguzi wowote ule wenye mamlaka ya dola...

Kuna wakati nchi hii huwa siielewi. Huyu mteka meli alitamkwa kwamba si raia wa nchi hii. Anaachwa vipi kupiga siasa katika nchi ya kigeni?
 
I like my guys of ccm, angalia... huku Pwani kuna kikundi kinaongozwa na Riz1 na nasikia anacontrol uvccm Arusha kwa rimoti, kundi lingine ni hili sasa linaongozwa na Bashe kwa ufadhiri wa bwana mdogo Fred Lowassa, PATAMUJE hapo
 
Huyo muungwana ni mzaliwa wa Nzega lakini Uraia wake una 'UTATA' mkubwa mpaka pale atakaporekebisha nyaraka zake kwa kufuata utaratibu wa kisheria uliowekwa...na kama asiporekebisha nyaraka zake bado atalazimika kuendelea kuwa mpiga kelele huko majukwaani na kamwe Chama chochote kile cha siasa hakitaweza kumsimamisha kama mgombea kwenye uchaguzi wowote ule wenye mamlaka ya dola...

Mkuu uraia unakuwa na utata akigombea ubunge tu??

Nyie watu sometimes ogopeni Muumba
 
Topical,

SDina uhakika sana kama utata wa uraia wake unakuja kila akigombea Ubunge tu. Nadhani kama hajarekebisha nyaraka zake hadi leo, na kama hatozirekebisha mpaka kufikia uchaguzi Mkuu wa chama mwakani, nakuhakikishia hawezi kuruhusiwa hata kugombea ubalozi wa shina. Mwanzoni utata wa uraia wake haukuwa wazi sana kisheria, kwa sasa wapo wengi wanaofahamu utata huo uko wapi!

Mimi, wakidhani nina haja ya kumshambulia, wamekuwa wakiniletea ma-scud yanayohusu utata wa uraia wake, sema sijawahi kuamua kumlipua...

OK hiyo RED imeweka sawa kwamba kuna ugomvi katika yenu, hope utokana hilo maana kuandika haya yote humu kuhusu kada wa chama chako inaeleweka kuna nini kina endelea.

Kama hana uraia hakupaswa kuwa na ajira ya aina yoyote hapa nchi, wewe ni mbunge unayekiri kuna sheria inavunja lakini umekalia hayo ma scud sijui kwa manufaa ya nani ? lakini taifa linaangamia, sasa basi kwa heshima ya kiapo ulichikula kwa wananchi na bungeni, peleke hizo taarifa kwa vyombo vya dola,
Ya kwamba kuna msomali amepewa ajira ni mkurugenzi wa moja ya magazeti nchini lakini pia anajiusisha na siasa ndani ya chama cha mapinduzi

Waziri wa mambo ya ndani wakati huo Masha alitamka bayana ya kwamba Bashe ni mtanzania, baada ya hapo ccm waliacha kelele zao cha kusema yeye sio raia na walitumika mpaka kukupigia kampeni kwenye uchaguzi uliopita
tunaomba uweke sawa haya mambo
Mwisho wewe kama MP wa Nzega tunakuomba ongea kama MP sometime kuwapa heshima watu wako wa Nzega waliokupigia kura.
mwisho i stand to be corrected

majungu hapana
TAIFA KWANZA
 
Topical,

SDina uhakika sana kama utata wa uraia wake unakuja kila akigombea Ubunge tu. Nadhani kama hajarekebisha nyaraka zake hadi leo, na kama hatozirekebisha mpaka kufikia uchaguzi Mkuu wa chama mwakani, nakuhakikishia hawezi kuruhusiwa hata kugombea ubalozi wa shina. Mwanzoni utata wa uraia wake haukuwa wazi sana kisheria, kwa sasa wapo wengi wanaofahamu utata huo uko wapi!

Mimi, wakidhani nina haja ya kumshambulia, wamekuwa wakiniletea ma-scud yanayohusu utata wa uraia wake, sema sijawahi kuamua kumlipua...
Sasa kama wewe mwenyewe ni raia halali na mwema mbona hutuelezi juhudi ulizofanya kumzuia mtu ambaye si raia asishiriki shughuli za siasa na mambo mengine? Huoni kuwa pamoja na kelele zako dhidi yake bado wewe unachangia uvunjaji wa sheria za uhamiaji?

Lakini kinachoonekana wazi ni kwamba una personal issues na huyo bwana sababu mara nyingi comments zako humu huwa zinajitokeza pindi jina la Bashe linapotajwa tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom