BASATA yawafungulia Nasib Abdul(Diamond Platnumz),Raymond Mwakyusa(RayVvan) na tamasha la Wasafi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
1548223034027.png






Baraza la Sanaa Tanzania hatimaye limewafungulia rasmi wasanii Diamond Platnums, Rayvvan na Wasafi Festival yao mara baada ya kuwafungia toka mwaka jana.
 

Attachments

  • 1548188305994.png
    1548188305994.png
    46.6 KB · Views: 78
Baada ya kupokea maombi kadhaa ya kukiri kosa? BASATA ni baraza la kipuuzi kabisa. Kwanini waliwafungia sasa in the first place?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni Basata.
Vijana chapeni kazi sasa.
Jiepusheni na jumbe na vijembe vyenye utovu wa nidhamu.
Basata nanyi muwe mnapuuzia baadhi ya jumbe na vijembe vinavyopelekea ninyi kuwa sehemu ya promotions ya nyimbo zisizofaa.
 
Back
Top Bottom