BASATA yaufungia wimbo wa Mwanza ulioimbwa na msanii Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz

Taifa lolote lisilo na maadili/utamaduni wake ni taifa mufu.... lazima tutunze identity yetu
Hatukatai, utamaduni wetu sio applicable Kongo,au Vietnam , sio relevant kabisa kila nchi na utamaduni wake, Washington DC ni ruksa kuvuta bangi lakin apa bongo ni shida, however mmarekani akija kuvuta bangi hadharani hapa kwetu tunamkamata...kila nchi na utaratibu wake, wewe kwako unaona hakifai kwa mwenzako kina faa, istoshe hao watu wa nje ndio wanampa show nyingi kwanini asiende kwa their favor???? Kama kwetu umekatazwa poa tu ila kwa mataifa mengine ni nyimbo halalai
 
Wasanii wahusika nao wamechukuliwa hatua gani kali za kisheria? Maadili kwanza...


Sijui tushike lipi maana tunaambiwa nyimbo imefungiwa lakini bado inapigwa kwenye public areas mpaka sasa

Abood Bus T326DSL
 

Attachments

  • 20190418_145010.mp4
    25.9 MB
  • 20190418_144852.mp4
    27.3 MB
Back
Top Bottom