Basata yamfungia Diamond kufanya onyesho lolote ndani na nje ya nje

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,485
18,045
Msanii wa bongo fleva Diamond amefungiwa kufanya onyesho lolote ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana
FB_IMG_15451470082673743.jpeg
 
Uchafu mtupu... Kwahyo basata mtafaidika nini. Basata wenyewe ni team kiba halafu wazee watupu hamna hata anaejua kufanya mziki unapoteza muda, pesa na nguvu kias gan
 
Kijana aliota mapembe,
Akajiona Simba,
Nyodo nyingi,

Atofautishe nguvu ya mamlaka na nguvu ya Pesa!!
 
Nadhan ni muda mzur kwake kutafakar mienendo yake hasa ile inayokinzana na mamlaka za sanaa husika.
Tunakupenda bt fuata sheria kaka, mimi shabiki wako bt naona wcb mmeanza kuzingua hasa maudhui ya nyimbo zenu, yan saiz kila wimbo mnaotoa umejaa matusi matupu sasa huku kwetu uswaz unakuta mtoto mdogo kakariri verses zote yan akianza kuimba unaona aibu wewe.
Badiliken, fanya bifu na kiba na sio serikal, kama unabisha muulize manji na matajir wengine ambao kimsingi wanautajir mkubwa kuliko wewe bt wamezinguliwa big time
 
Licha ya kuimba matusi kwenye nyimbo zao pia ameripotiwa mara kadhaa kutukana matusi awapo majukwaani kama lile la Mtwara kwenye festival yake.. Alitukana maneno mazito huyo kijana na wakat huo alikuepo Naibu waziri wa wizara huska Juliana Shonza
 
Back
Top Bottom