Basata, wimbo wa Ommy Dimpoz na Nandy umejaa matusi tupu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kuna ngoma imeachiwa hewan huko ya nandi ya ommy dimpoz lakin ukweli tu ni kwamba goma ni kali sana video nzuri lakin nandy kahalibu sana kaimba matusi mwanzo mwisho

Kitu kingine hii ngoma ni ya ubaguz sana maana inawasema vibaya watu wenye vibamia vyao, hatuwezi kuishi kwenye inchi yenye matabaka ambayo wanaopewa sifa wenye matango tu afu wenye vibamia wanatengwa hiyo ni no no no

Hiyo ngoma naomba basata muifunge mara moja ipasavyo imenichefua sana aisee

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nani basata, wapo kama mavi ya bata
Majukumu waliyopata, Wanashindwa kuyafata/

Ipo siku tabu watapata, wasanii hasira zikiwapanda
Hawajui majukumu yao, kazi kufungia nyimbo za wasanii wao..
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kuna ngoma imeachiwa hewan huko ya nandi ya ommy dimpoz lakin ukweli tu ni kwamba goma ni kali sana video nzuri lakin nandy kahalibu sana kaimba matusi mwanzo mwisho

Kitu kingine hii ngoma ni ya ubaguz sana maana inawasema vibaya watu wenye vibamia vyao, hatuwezi kuishi kwenye inchi yenye matabaka ambayo wanaopewa sifa wenye matango tu afu wenye vibamia wanatengwa hiyo ni no no no

Hiyo ngoma naomba basata muifunge mara moja ipasavyo imenichefua sana aisee

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

"Habali" ndio nini?

Struggle For Success!
Hapa Kazi tu.
 
Bila matusi mambo ni magumu nakukumbusha tu matusi ni catalyst ata Drake analijua hilo
 
wimbo mzuri, tango na vibamia vyote vinaongeza vitamini haina sababu ya kuweka chuki.
 
Wimbo unaitwa “kata”.Ukiandika tango YouTube,unaishia kuona vipande tu.Ila ukipakua huo ulioandikwa KATA,utapata wimbo kamili.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kwa mambo yanayohusu BASATA muone TID Mnyama maana alishasemaga kuwa hakuna BASATA ila yy TID ndo BASATA,
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kuna ngoma imeachiwa hewan huko ya nandi ya ommy dimpoz lakin ukweli tu ni kwamba goma ni kali sana video nzuri lakin nandy kahalibu sana kaimba matusi mwanzo mwisho

Kitu kingine hii ngoma ni ya ubaguz sana maana inawasema vibaya watu wenye vibamia vyao, hatuwezi kuishi kwenye inchi yenye matabaka ambayo wanaopewa sifa wenye matango tu afu wenye vibamia wanatengwa hiyo ni no no no

Hiyo ngoma naomba basata muifunge mara moja ipasavyo imenichefua sana aisee

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom