BASATA wapo wapi? Wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi, tena bila uoga

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
Ifike mahali kama taifa tuone hii hatari iliyopo mbele yetu, wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi tena bila uoga.

Hakuna aliye msafi kabisa wote wanaimba matusi tu yaani hata kusikiliza mbele ya watoto inakua ni aibu.

Je, ina maana BASATA hawaoni mambo haya? Wengine wameona kuimba haitoshi wameamua kuvua nguo kabisa na kupanda stejini kutumbuiza.

Tunaelekea wapi jamani?
 
Watunga sera wenyewe ndio wanapenda hizo nyimbo. Kampeni yao mwaka 2020 wamezunguka na waimba matusi.

Mimi ukweli naomba niwe mjinga tu ila sina nafasi ya kusikiliza hawa wajinga mwanzo mwisho wanaimba matusi tu.

Ukweli kama jamaa kisanaa ya muziki tupo shimoni. Huyu mtoto wa Nyange ndio kinara wa kuimba matusi.
 
It reflects on how Antichrist is on his way, no body cares on peoples culture, no body cares on the nature of the next generation, they use their power of influence to brand nonsense, oh God for give us, we are all in the trap of the devil, Dear God the world you created nowadays is fully dominated by money first and not humanity, money first and not Moral values.

Mungu tunusuru.
 
Mbona hujaweka wazi? Ni nani na wapi? Elezea ueleweke mkuu au anayejua atufahamishe sisi wananchi wa Tarime
 
Back
Top Bottom