BASATA mkifungia huu wimbo wa ''Wowowo'' nawaburuza mahakamani

Hata mi naukubali mkuu tutaongozana kuwaburuza
Ahsante mkuu. Karbu sana.

Hatuwezi kukubali kuondolewa farana yetu kisa tu mtu mmoja flat screen hapendi huu wimbo, haiwezekani.

Hata hakimu au jaji akifikishiwa hii kesi akaonyeshwa songi ambalo limefungiwa hatakubali lifungiwe.
 
zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowoooooo
figure huoneka hata kwenye buibu,mchovu akipewa zigo hainui,wachina wameleta mbolea
danmmmm bonge la kalioooo
sura ata mbuzi anayo ,
 
Wowowooooo ukimpata ayekupa banda la uwani mmmh! Ni shida
 
Back
Top Bottom