Ndio maana hata manyimbo ya siku hizi yanachuja haraka.Wimbo umeimbwa na vilaza wa WCB..upumbavu mtupu.
Ndio. We huwezi?Kwa mfano, unaweza kumwambia dada yako amevaa dela jipya lakini ana chupi ya zamani?
singeli ni reflection ya maisha ya waswahili ambapo matusi ni kitu cha kawaida. Labda ndio maana wameamua kuachana nayoKama ni singeli hata watukane vipi ..hawaguswi
Kwani kwenye huo wimbo nani ametajwa?Wewe hapo ukiambiwa umevaa chupi la zamani utajisikiaje?