BASATA: Diamond amestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya show ya ufunguzi wa AFCON 2017

BASATA kazi ilishawashinda zamani waendelee tu kuchezea keyboard za ofisi mana ndo walichobakiza
 
Mkuu post ya Ridhiwan ni ya kijinga na iliyojaa dharau na kejeli. Alikuwa na namna nyingi nzuri tu za kuwachallenge TFF na si kama alivyofanya.
kila kitu kakikuta uanategemea atakuwa naakili tmamu
 
Kama kweli unaujua muziki tena kwa jicho la tatu. Domo anaruka ruka tu. Huwezi kumcompare na TID Grace Matata n the likes. Jiulize kwa 'levo' ambazo Team yake inamuweka ambazo hastahili kabisa, kwanini hana band mpaka sasa. At least katika show fulani fulani afanye kitu tofauti.
Angalia acha kutazama.

Nina imani diamond anapenda ushauri, subiri atakaporudi kutoka huko anapokwenda kuwakilisha taifa kwa kuruka ruka then umwambie maana bila shaka we ni team "muziki mzuri" # ha ha hah haters bna.
 
Post ya Ridhiwan ndio ya kipuuzi. Imeonyesha dharau na kejeli kwa wanamziki. Hata kama alitaka kuwachallenge TFF si kwa staili ile. Kaonyesha dharau kubwa kwa Diamond Platinumz.

Taja kirefu cha TFF alafu ndio ulopoke hayo maneno yako,TFF na mziki wapa na wapi na basata wao ni nni?
RIZ MOKO YUPO SAHIHI kuwambia TFF hayo maneno ni akili ndogo tu ndio Hawajamuelewa Rizi.
 
4130c5ed0198afab099cdc83936e60b9.jpg


utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo
Kabla ya hii alipost post inayo onesha kama watu wanamchukia diamond na alianza Babu tale.. hii ni post ya pili nadhani baada ya kumuelewa Ridhiwani......
 
Hivi nyie nani kawaroga kwa hiyo bendera ni kwaajili ya wacheza mpira pekee au

Muelewe akiboronha pale katika uzinduzi itakua ngumu kwa mtanzania yeyote kupata nafasi ya kuperfom kwenye issue kama zile

Akifanya vizuri basi watanzania watakua n chance kubwa ya kupata fursa ya kuperfom pia

Achenk majungu acha dogo akawakilishe nchi japo kwa dakika chache wanaolalamika acheni wivu wa kike

Kama vikundi vya sanaa tu huwa wanapewa bendera za nchi sasa diamond ana kosa lipi au hana haki ipi ili asipewe

Natumaini jamaa akitumbuiza vizuri Viwango vyetu kwenye FIFA vitapanda.HAHAHAHAHA
 
Diamond ni balozi wa kiswahili, kawaimbisha watu kiswahili huko mayote...anastahili bendera mbili na diplomatic passport!
 
4130c5ed0198afab099cdc83936e60b9.jpg


utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo
Watanzania sijui ndio elimu imetupita kando yaani mi pia nilidhani kaongea pumba kumbe kajieleza very positive wala hakutusi wala kukandia mtu ,hajafanya kosa lolote apo mkubwa fela
 
Back
Top Bottom