Baruti zilizofichwa kwenye miundombinu zagunduliwa Pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baruti zilizofichwa kwenye miundombinu zagunduliwa Pemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junius, Aug 6, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Zanzibar police yesterday seized 20 landmines at Chake Chake, Pemba, in a continuation of a mysterious series of incidents analysts associate with deep-rooted political rivalry in the Isles.
  The development came hardly 24 hours since police dug out two landmines hidden under Pemba bridges in what the authorities believe is evidence of politically motivated sabotage.
  South Pemba Regional Police Commander Said Marekano hinted that someone or groups of people yet to be identified may have planned to use the TNT-type landmines to bomb strategic locations in the clove island.
  “We got these explosives – which are usually used in the crushing of rocks. They were stored at Meli Tano area in Chake Chake, Pemba,” he said, thanking “wananchi” who tipped them off.
  “We involved Tanzania Peoples’ Defence Forces experts in locating the explosives. They are the ones who positively identified them as dynamite commonly used in the blasting of rocks,” he added.
  Marekano explained that they had also seized a device for setting off bombs and were continuing with investigations.
  He said police had further learnt that a group of people yet to be identified had lined themselves up yesterday to blow up the road linking Chake Chake and Wete townships using the seized dynamites “but, fortunately, we have foiled the move.
  He called on members of the public to alert the law-enforcement agencies on any person or development they suspect to be associated with illegal activities.
  On Tuesday police said they had found and dug out landmines planted under two Pemba Island bridges.
  The Zanzibar government has, meanwhile, issued a statement describing the two incidents as amounting to sabotage. It has linked them to “an ongoing scheme to plant landmines in sensitive areas”.
  Machano Othman Said, Minister of State for Communication and Transportation, issued the statement when briefing the press about the landmines on Tuesday.
  He said that law-enforcement agents found the bombs on bridges at Piki and Meli Tano in North Pemba Region. Piki Bridge links Wete and Chakechake townships through the old road.
  In another development linked to the Pemba landmines scare, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) has indefinitely put on hold the registration of voters for next year’s general election.
  ZEC Director Salum Kassim Ali cited poor security at most registration stations in Pemba and the need to avoid a recurrence of disputes as the reasons for the postponement.
  “The security situation is not conducive for the exercise to continue,” he said, adding that they would meet later to plan the way forward.
  Ali said Ole constituency in North Pemba Region was the worst hit in terms of political disputes during the registration exercise.
  However, North Pemba Regional Commissioner Dadi Faki Dadi said he was “shocked” by the measure taken by the electoral commission.
  Meanwhile, Parliamentary Defence and Security Committee chairman Wilson Masilingi led his team in talks with Zanzibar President Amani Abeid Karume yesterday on the state of security in the Isles. They later proceeded to Pemba for an eyewitness account of the situation there.

  SOURCE: THE GUARDIAN.
   
  Last edited by a moderator: Aug 6, 2009
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kuna milipuko imepatikana katika baadhi ya madaraja Pemba na polisi wameitegua. Bado sijapata jibu kama huu ni mkakati CCM kurudia yale aliyokuwa akiyafanya Mahita kwa kudai amekamata visu vyenye bendera ya CUF ili kufanya vyama vya upinzani vionekane haviitakii amani Tanzania, au ni uvumilivu wa watanzania sasa unakaribia ukingoni?. Maana kitendo cha polisi kutoa taarifa ya mabomu na kudai wameshayategua kina zua maswali mengi badala ya mjibu. Je wameshaanza mkakati wa kuchafua amani ili CCM ishinde au ni sehemu ya majukumu yao kulinda amani.

  Kama ni mkakati basi siasa kama hizi hazina budi kukemewa kwa nguvu zote na wananchi wapenda amani. CCM itambue kuwa mchezo huu ni hatari na ukibackfire hautachagua ni nani CCM na nani mpinzania, bali itakuwa ni hasara kwa watanzania wote kwa ujumla wetu.

  Mungu Ibariki Tanzania.

   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  This is very serious. It is very imperative wafuatilie kiundani who is behind this malicious and wicked act. Using explosives against public facilicities, will bring mental paranomia to civilians. This is one way of emotional slaughtering and unintelligencing Wapemba and terrorizing them so that they become mental psychotic.

  If it is a political motivated thing, as they claim, then Bongo is at the edge of breaking into pieces. In the event they find and/or get which party is behind this pathetic and inhuman act, it will be better for the interest of public and peace, to close such a political party, ad infinitum.
   
 4. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Inaonekana ni mchezo mchafu unaochezwa hapo; Ina nikumbusha yale mabomu na vifaa vyake waliyokuwa wakiyafukua kule Pemba kama sijasahau ulikua uchaguzi wa mwaka 2000, wakidai wamepata taarifa kutoka kwa raia wema. Tangu lini mabomu yakAfukuliwa kwa tinga tinga kama haukuwa mchezo mchafu uliopikwa? naona huu ni mwendelezo wa kumpa mbwa jina baya ili ukimwua usipate lawama.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kama kawaida CCM wameanza zao na bado.
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tume ya uchaguzi haina mamlaka ya kusema hakuna usalama na hivyo wanasitisha kuandikisha wapiga kura, hii ni planned mission ya CCM. A good thing is that we know almost all the tactics of CCM when we are approaching the elections.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Waruke wakitua ,hayo mambo yao yatawarudia wenyewe ,hawa wanacheza na security ya CUF ,sijui wameisahau, ila CUF kwa ninavyoijua hawanyanyui mdomo kumtaja mtu maana weshachoka kuwataja ela hakuna awasikiae ,sasa tusubiri hao mashushu wa CCM wakurupuke uwone watakavyoumbuliwa ,hivi hawakumbuki walivyokuwa wakienda jela usiku usiku na kuchukua mivi halafu wanaenda kuyatumbukiza kwenye visima ? Na waliokuwa wakifanya hayo wakajulikana kwa majina na magari waliyokuwa wakitumia ,serikali ya wakati huo ilifanya nini ? Tunaposema Mkapa anaenda kushitakiwa basi msizani ni utani kuna ushahidi wa kutosha kama anakimbia ufisadi basi ajue mbele kuna kigingi lazima kitamkwaa tu ,si ajabu kesho na kesho kutwa mkasikia wamekamata silaha za kivita na vifaru .

  Kama mtagundua hapo katika hiyo habari kuna neno limetumika haswa si mara moja wala mbili ...law-enforcement agents... hapa panataka kuidhinishwa yale majeshi na mapolisi yaliopelekwa hakuna jingine ,na jingine hizi ni hatua za wizi ambazo zinaandaliwa kujenga hali ya wasiwasi katika kisiwa cha Pemba ionekane kuna
  hujuma fulani zinataka kufanyika.

  Ni mipango ambayo inapangwa sasa si ajabu ndani ya wanaopanga mipango hiyo hawana imani na vitendo vinavyotaka kufanywa.

  CCM haishindi Pemba hata wazikiri uchi wanachama wote wa CCM basi itaambulia patupu ,iliyobaki ni hiyo janja wanayoipanga lakini naamini kabisa wanaopanga mipango hiyo wasije wakastaajabu wakitakiwa mahakamani kujibu mashitaka.
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Na hizi habari za mabomu nazo zinasambaa sana. Kama nazo ni masuala ya kupanga pia ni hatari kwa sababu watu wengi hawataweza kujua kwamba ni jambo la kubuni.
  Pamoja na kuzagaa kwa silaha ndogo ndogo kutokana na vita vilivyoko nchi jirani, sina hakika iwapo mabomu wanayo raia huko Pemba. Aidha, unahitaji kuwa na polisi wenye nyenzo na maarifa makubwa kubaini kwamba kuna bomu limetegwa mahali fulani. Mbona kwenye hili imekuwa ghafla, kuliko FBI ,yaani sehemu zote zimegundulika kwa mpigo ,CCM Mmejinyea :D

  Sasa ona nyeti zinaanza kuvuja ,watu wanapeana mawio :-

  Waheshimiwa,

  Nimepata habari za kuaminika kwamba, haya mabomu tunayosikia kuwa wananchi ndio wanayoyatega, kumbe ni hao hao (Smz_ccm) wenyewe wanofanya kitendo hicho na baadae kuwasingizia wananchi., basi uovu wao utawarejea wenyewe.
  sms catcher
   
 9. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Haina akili hii habari, mtu atege bomu na likutwe bila kuripuka tena chini ya madaraja! Kama Mimi natega bomu darajani nategemea rilipuke muda ambao nitaondoka hapo.
  Hayo mabomu yamewekwa ili yakutwe na watu waambiwe wametega na wakamatwe! Ni Ujinga CCM wanafanya..
   
 10. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanarudia yale kwa yale fomula zile kwa zile.
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Call that dog a bad name and kill it!
   
 12. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  CCM wanatapatapa haya tutaona mwisho wake
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mnawajua Wapemba nyie?
   
Loading...