Nilikuwa najiuliza kuwa huyu jamaa ambaye alikuwa mahiri katika usomaji wa Taarifa ya Habari na Matangazo ya Mpira yu wapi siku hizi na nikadhani kuwa kaenda shule kumbe naye amaejiunga na Redio 5 inayomilikiwa na Lowasa kama Meneja.
Radio tumesha jua sasa TV yake inaitwaje ?
radio tumesha jua sasa tv yake inaitwaje ?
Baruani kaondoka siku nyingi na analipwa mara tatu ya mshshara wake wa mwanzo na wako wengi, huko.
Radio five siyo ya Lowassa ila ni ya Henry Nyiti ambaye ni mshirika wa Lowassa, huyu Muhuza anaandaliwa kwa ajili ya ABC TV.
...Wamvute na Uncle "J" jamani yaelekea jamaa amefulia mbaya tangu ITV wamwage!!Baruani kaondoka siku nyingi na analipwa mara tatu ya mshshara wake wa mwanzo na wako wengi, huko.
Radio five siyo ya Lowassa ila ni ya Henry Nyiti ambaye ni mshirika wa Lowassa, huyu Muhuza anaandaliwa kwa ajili ya ABC TV.
kuna tatizo???
Ili iwe nini?
tatizo ni ile kashfa ya Rich---monduliHakuna tatizo Mkuu. Ni taarifa tu maana najua wapo waliokuwa wakijiuliza huyu ndugu yuko wapi siku hizi?
Any proof? Lowassa is CLEAN! Kazi ipo this 2010... Long way to go.tatizo ni ile kashfa ya Rich---monduli
Radio tumesha jua sasa TV yake inaitwaje ?