Baruani Mhuza naye huyoo, kwa Lowassa

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Nilikuwa najiuliza kuwa huyu jamaa ambaye alikuwa mahiri katika usomaji wa Taarifa ya Habari na Matangazo ya Mpira yu wapi siku hizi na nikadhani kuwa kaenda shule kumbe naye amaejiunga na Redio 5 inayomilikiwa na Lowasa kama Meneja.
 
Radio tumesha jua sasa TV yake inaitwaje ?
 
Baruani kaondoka siku nyingi na analipwa mara tatu ya mshshara wake wa mwanzo na wako wengi, huko.

Radio five siyo ya Lowassa ila ni ya Henry Nyiti ambaye ni mshirika wa Lowassa, huyu Muhuza anaandaliwa kwa ajili ya ABC TV.
 
Jamani maisha magumu. Baruan Mhuza maisha yake ni ahueni sasa kuliko ilivyokuwa awali, mwacheni asomeshe watoto.
 
Kwani jamani si tulisoma ili moja ya sabubu ni kuweza kujikwamua. sasa muacheni kaka wa watu nae atumie matunda ya elimu yake. Wanaolipwa zaidi si ni kama yeye tu kwani anganganie sehemu moja na ilihali opportunity zipo nyingi. Mpeni nafasi aweze kusomesha na yeye vijana wake kule wengine mnakosomesha
 
Green pastures!!! Fine, mtu ana uhuru wa kuamua pa kufanyia kazi. Na cha msingi ni mshahara na mazingira ya kazi conducive!!! Tumikia ...... upate ujira wako!!!! Hongera indirect shareholder Lowasa.
 
Baruani kaondoka siku nyingi na analipwa mara tatu ya mshshara wake wa mwanzo na wako wengi, huko.

Radio five siyo ya Lowassa ila ni ya Henry Nyiti ambaye ni mshirika wa Lowassa, huyu Muhuza anaandaliwa kwa ajili ya ABC TV.

Je twaweza kujua huyu Nyiti anawezaje kuwalipa wafanyakazi hao mshahara mara tatu ya wanavyolipwa sehemu zingine? Nasikia huyu Lowassa ni hodari wa kuwatumia watu wengine kumfanyia shughuli zake.
 
Sasa kuna ubaya gani kuwatumia wananchi wenzake katika maendeleo yake na yao?
 
Baruani kaondoka siku nyingi na analipwa mara tatu ya mshshara wake wa mwanzo na wako wengi, huko.

Radio five siyo ya Lowassa ila ni ya Henry Nyiti ambaye ni mshirika wa Lowassa, huyu Muhuza anaandaliwa kwa ajili ya ABC TV.
...Wamvute na Uncle "J" jamani yaelekea jamaa amefulia mbaya tangu ITV wamwage!!
 
Anawatumia wengi tu sio Nyiti tu bali hata wakina KAAYA na wakina OLE.......
 
Back
Top Bottom