Barua za Spika Ndugai kuomba mchango wa 200m ilikuwa ni kwaajili ya Wabunge au Taifa stars?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
FB_IMG_1562351969661.jpg
FB_IMG_1562351978339.jpg

Kutokana na kauli ya Makonda inaonekana wazi ilililenga Bunge, kuwa limechangisha fedha kwa jina la Timu ya Taifa ila hazijafika.

Binafsi nilijiuliza sana, haya mahaba ya wabunge kwa Taifa Stars yametoka wapi, yameanza lini? Kumbe kulikuwa na posho.


______________

HARUFU YA UFISADI
Kama pesa hazikufika ina maana walizitumia wabunge. Spika anasema KWA WABUNGE 65 WALIPUNGUKIWA 200M, tukigawanya ina maana kila mbunge alipungukiwa Tsh. 3,100,000. Nauli ya kwenda Cairo na kurudi haizidi Tsh. 1,700,000 kwa kichwa, swali ni kuwa walihitaji zaidi ya Tsh. 3,100,000 kwa kichwa za kazi gani?

Labda Makonda arekebishe kauli kuwa hiyo taasisi ilipeleka fedha nusu hapo tutaelewa kidogo

Screenshot_20190706-052147.png


Heche kaongeza utata zaidi

Heche anasema wabunge wote walioenda walitoa hela zao wenyewe. anasema kama spika alichangisha michango yeye Hana hizo taarifa.

Alikua akihojiwa efm sports hq

Kama Spika alichangisha pesa ambazo wabunge hawajapewa kwa mujibu wa heche wala Timu haijapewa kwa mujibu wa Makonda, je fedha hizi zimetumika kufanya nini, ziko wapi?
MH. SPIKA MAJIBU TAFADHALI
 
View attachment 1147579View attachment 1147581
Kutokana na kauli ya Makonda inaonekana wazi ilililenga Bunge, kuwa limechangisha fedha kwa jina la Timu ya Taifa ila hazijafika
Hapo ndipo huwa namkubali RC Makonda........ Wabunge wanaolipana zaidi ya milioni 12 kila mwezi wamefikia hatua ya kuchota fedha ya serikali kutoka bodi ya utalii!!!!!

Hii haikubaliki!

cc: mchungaji Msigwa
 
Sasa DAB anazidai kama nani! Siyo mwenyekiti wa BMT siyo Rais wa TFF hawa wabunge waliomba mchango ili wakale bata kwa kuiangalia CCM Star na wameenda, hazikutolewa kwenda kuwagawia wachezaji Bali kula bata.
yeye aliona wabunge wameenda kula bata wivu ukamshika nae akaomba kwa babake (sijui nani yake) nae akaongezewa na msindikizaji ili wakale bata vizuri karudi kaanza kudai michango ya wabunge, na yeye arudishe kodi zetu alizotumia kwenda kuonyesha hips zake huko.
 
Back
Top Bottom