Abuu hanifa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2021
- 256
- 274
Masoko ya namna gani unataka.
Kujua soko la mbolea wwanunuzi wakubwa utawapata VP,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masoko ya namna gani unataka.
Wanunuzi wakubwa wa mbolea wanapatikana mikoa inayofanya kilimo kinachotegemea mbolea. Unapotafuta soko la mbolea hayo ndio maeneo ya kushughulika nayo mfano mkoa wa Mbeya, Ruvuma, Songwe, Moshi, Tanga, Morogoro n.k. Ni muhimu kupata taarifa za mahitaji ya mbolea katika mikoa hiyo. Mfano mahitaji ya mbolea mkoa wa Ruvuma ni tani 50,521 kwa musimu mmoja wa kilimo. Unaweza kuona ni wanunuzi kiasi gani wapo katika mkoa huu.Kujua soko la mbolea wwanunuzi wakubwa utawapata VP,
Huko huko tunapoichukulia sisi ila hapa nyumbani haya matozo ya Madelu ndio kivumbi.Kenya wanaitoa wapi ndugu
Umoja wa ulaya umeshakataza, saivi hawatachukua tena. Wakifanya hivyo watakua wanakwenda kinyume na mapendekezo ya umoja wa ulaya.Huko huko tunapoichukulia sisi ila hapa nyumbani haya matozo ya Madelu ndio kivumbi.