Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

Sitegemei kama Zito anaweza kuongelea lolote kwenye huu upendeleo unaondelea sasa kwa wazanzibari, kwani ACT nguvu yake iko kwa wapemba. Akilogwa akagusa maslahi ya Zanzibar, hapo ndio mwisho kupata support ya Wapemba. Anawategemea hao wapemba ili kupata chochote kwa ajili ya kukuza ACT huku bara.
 
Kuipa mamlaka Zanzibar kutaiongezea Zanzibar kunufaika na Muungano.

Tunachotakiwa kufanya ni strategic process ya kuhakikisha Zanzibar inabaki na mamlaka ya kimkoa na siyo ya kinchi.

Idadi ya watu milion 1.5 ni ndogo sana hailingani hata na mkoa wa Njombe why wasihamishiwe Tanganyika wote with incentives halafu Zanzibar iwe occupied na Christian zaramos ?

Ndiyo mtajenga nchi au kuibomoa kabisa?
 
Wazenji wangeachwa peke yao wangekuwa mbali sana kiuchumi - angalia kisiwa cha Mauririus kilichopata uhuru 1968 - miaka 4 baada ya Zenj.
Wajati huo uchumi wa Mauritius ulikuwa ni miwa na wa Zenj ni karafuu, lkn leo hii mauritius ni inakaribia Ulaya kiuchumi wakati Zenj inaendelea na wimbo wake wa Mapinduzi Daima.

Mauritius nao wangejiendekeza na wimbo kama huo wasingeendela chochote.
Pia kuna uwezekano Zenji ingekuwa level za Ngazija pangu pakavu, lolote linawezekana.
 
Yaani mkuu hapo umenena, kama sijakosea zaidi ya nusu ya wazanzibar wamekimbia uko zanzibar na wengi wao wako bara na wengine nje ya bara, nadhan hata wao wazanzbar bado wanapaona kwao kuwa pagumu
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?
 
Pia kuna uwezekano Zenji ingekuwa level za Ngazija pangu pakavu, lolote linawezekana.

Ngazija ipi? Labda ile serikali iliyowekwa Na jeshi la CCM ndio inayokula nyasi Na Si ile ya Mayotte
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom