Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

pole sana pia embu jitathmini hujawahi tembea na mke wa mtu uko au kutafuna tamu ya mkubwa?

kama sio basi hao uliowshtumu ni wahalifu na si askari,ungekariri na namba zao ingekua vyema sana.

Askari wanaodhulumu mwisho wao ni mbaya sana
Rubbish! Sasa kama ametembea na mke wa mtu ndiyo afanyiwe hivi? Rubbish!
 
Bro hao watu kwann usijitoe mhanga uwaroge wote wafe ama watoke udenda maisha yao yote....KAMA WAMEKUSHINDA KWENYE JUA WATAFUTE KWENYE MWEZI...
Huyu mleta mada amekaa kizembe,sioni cha kumsaidia tofauti na uchawi,askari anakukaba shingo hadi pumzi zinakata na bado anakusweka rumande na kipigo juu,kutoka hadi umetoa laki 9 na hapo huna kosa,Kama ni mm lazima wazikwe kwanza wao.

Niko tiari kufata kisasi hadi Congo kwa wachawi magwiji ni mwendo wa unachukua harage lenye uchawi unapanda kwenye udongo kufumba na kufumbua linaanza kuota na kutoa maua baadae maua yanakuwa maharage sekunde nyingi maharage yanakauka ile hujakaa sawa yanaanza kupasuka kutoka kwenye ganda lake sasa sikilizia mziki wake ni kuwa askari fulani amedondoka ghafla na kufa sababu za kufa watasema labda pressure kumbe mchezo umechezwa Congo msituni bila faulo wala kadi.

unatoka Congo unarudi unakuta watu walishaanua matanga,maisha yanasonga siku bwenge mwingine akichichanganya unarudi kuonana na babu msituni Congo...
 
Ulishindwa kukaza mpaka ukatoa pesa?yaani una polisi hela SI rushwa hio ulitakiwa ukomae mpaka wakupeleke mahakamani
Ndugu yangu kama hujui kitu ni bora ukae kimya...

hujawahi teswa ww...

kuna watu wametswa na hadi kufanyiwa kinyume na maumbo kwa kesi za kusingiziwa ww unasema kutoa hela....

Ni bora niwe na afya ua niwe kilema then ni nahela?
 
Kwanini mkuu unaonewa kiboyaboya wakati unaweza kopea mshahara wako na kuwafutilia mbali hao mapolice uchwara
 
Pole Sana mkuu dah! Hadi nimetokwa na machozi yani nimeifuatilia hii story nimejikuta kama nasoma kitabu cha hadithi au naangalia tamthilia za kikolea kiukweli hawa askari ni genge la wahuni ingekuwa kipindi cha #jpm moto ungewaka yani majibu wange ya pata na kazi wangeshafukuzwa hao ni majambazi hao uswahilini huwa tunashughulika nao kimya kimya hadi wanaomba kuhama vituo
 
mkuu ugepiga kimnya tu pesa kitu gani?. watakutoa macho. hao ndio wanaowaweka viongozi unaowaomba wakusaidie madarakani. hivyo we hama tu nenda vijijini au hamia Burundi kwa usalama wako.
 
Hivi haya matendo yataisha lini? Mambo ya ajabu sana sana.
Hapo ndipo wanaibuka kina Hamza the Duduman Square , watu tunasema Gaidi kumbe jamaa ana hasira za kufanyiwa Dhulma na hawa viumbe wanaolindana
 
Nenda kwa Mkuu wako wa mkoa atakusaidia

RC anaripoti moja kwa moja kwa mkuu wa nchi hii ndio maana Polisi huwa wanawaogopa wakuu wa Mikoa
 
Back
Top Bottom