Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,414
2,000
Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!

Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana habari, tulianza na analojia na sasa digitali, tulikubali mabadiliko yale lakini katika digitali tumekumbana na adha ambayo inazidi kudidimiza hali zetu kwa kutuminya kwenye ada za vifurushi kuwa juu, vile vile kulazimika kuwa na dikoda zaidi ya moja ili kukidhi haja mbalimbali za kihabari.

Tumeona sasa majumbani nyungo zinajaa kwenye bati kuliko hata ofisi za mafundi satelaiti, yote yanatokana na huduma kutopatikana katika kukidhi matakwa ya mlaji, wazo langu na ushauri® katika kutofautisha makampuni kuwe na card kama zilivyo laini za simu yani nikitaka kuwa hata na kampuni tano za dikoda, sihangaiki kuwa na madishi matano, nakuwa na dishi moja, dikoda moja lakini kadi ndio tano za kampuni tofauti!

Makampuni yanayotengeneza dikoda yawe yanatengeneza zikiwa na uwezo wa kupokea kadi zote za makampuni yote! Ahsante.
 
Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
1,976
2,000
Ni wazo zuri. Hasa decorde iwe na ports za kuingiza cards kama 3 at the same time. Halafu ukiwasha kunakuwa na facility ya option ya ku-select card unayotaka kutumia wakati huo kama ni Azam, Continental, DSTV au ZUKU na unaweza kubadili wakati wowote.
 
Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
3,973
2,000
Ni wazo zuri. Hasa decorde iwe na ports za kuingiza cards kama 3 at the same time. Halafu ukiwasha kunakuwa na facility ya option ya ku-select card unayotaka kutumia wakati huo kama ni Azam, Continental, DSTV au ZUKU na unaweza kubadili wakati wowote.
Shida itakuwa kwabaadhi ya kampuni, ukibadili kadi inabidi upande batini kurekebisha uelekeo kulingana na kampuni husika.
 
Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,414
2,000
Ni wazo zuri. Hasa decorde iwe na ports za kuingiza cards kama 3 at the same time. Halafu ukiwasha kunakuwa na facility ya option ya ku-select card unayotaka kutumia wakati huo kama ni Azam, Continental, DSTV au ZUKU na unaweza kubadili wakati wowote.
Watakuwa wametusaidia kwa kiwango kikubwa sana.
 
Mbeshe

Senior Member
Jan 26, 2021
179
250
Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!

Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana habari, tulianza na analojia na sasa digitali, tulikubali mabadiliko yale lakini katika digitali tumekumbana na adha ambayo inazidi kudidimiza hali zetu kwa kutuminya kwenye ada za vifurushi kuwa juu, vile vile kulazimika kuwa na dikoda zaidi ya moja ili kukidhi haja mbalimbali za kihabari.

Tumeona sasa majumbani nyungo zinajaa kwenye bati kuliko hata ofisi za mafundi satelaiti, yote yanatokana na huduma kutopatikana katika kukidhi matakwa ya mlaji, wazo langu na ushauri® katika kutofautisha makampuni kuwe na card kama zilivyo laini za simu yani nikitaka kuwa hata na kampuni tano za dikoda, sihangaiki kuwa na madishi matano, nakuwa na dishi moja, dikoda moja lakini kadi ndio tano za kampuni tofauti!

Makampuni yanayotengeneza dikoda yawe yanatengeneza zikiwa na uwezo wa kupokea kadi zote za makampuni yote! Ahsante.
Maamuzi anayo Bw.Mkubwa.Hata ukipiga kelele ni bure tu.Kama wanatutishia kutufunga tunapouliza habari za Rais wetu, hilo kamwe hataliweza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom