Barua ya wazi kwa watanzania kutoka kwa M. R. J. SABODO

Jamani nimejaribu kutafuta hicho kitabu online sijakiona kuna mtu ambaye anaweze kutuwekea hata link yeyote ambayo tunaweza kusoma hicho kitabu? Neheshimu uzalendo wa huyu mzee kwa kweli kama hawa ndugu zetu wangeweza kusikiliza ushauri wa watu kama hawa ninauhakia kungekuwepo na maendeleo ya nchi yetu, hivi mshauri wa mh. rais ni nani na ana kiwango gani cha elimu nadhani hawa washauri ndio wanaopoteza uelekeo wa nchi yetu for sure resources tulizonazo hatustahili kuwepo hapa tulipo.
 
Mazuri yafanyiwe kazi na yanayoweza kutupa maendeleo ya nchi yetu hii ambayo ati wenyewe wanaiita changa ikiwa na miaka 50
 
Back
Top Bottom