Barua ya wazi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Job Ndugai

Ningekuwa ni mimi naleta wagombea,ningezingatia taaluma,umilisi wa lugha ya kiingereza na weledi bila kujali jinsia.tuache kuwabeba wanawake sababu ya jinsia zao,wawe na sifa,mbunge toka Tanzania asiyemudu kiingerza atasilizanaje na mbunge toka Sudan?
 
Mhere Mwita: Ninachoshindwa kuelewa ni kwa nini CCM wanahangaika na nafasi mbili za uwakilishi ambazo ni za Chadema. Hizo nafasi ni zao sasa shida nini wakisema hawa ndio tumeona watuwakilishe? Tangu bunge la EALA lianze, bunge letu halijawahi kumpitisha mgombea wa Chadema pamoja na kwamba ndicho chama kikuu cha upinzani. Hii dhambi itawatafuna kweli kweli hawa CCM na Ndugai wao. Wakati mwingine unakosea hadi kutamani angeendelea kuumwa kama mwanzo.
 
Hata kama MTU anakosea sidhan kama kwa hali ya ubinaadamu n sahihi kumuimbea mtu magonjwa hakuna asiye na mapungufu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom