Bikis
Member
- Feb 23, 2019
- 52
- 74
Salam kutoka wilaya Ngorongoro.
Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku.
Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi kwenda kwa upinzani na 2015 mkoa mzima wa Arusha baada ya uchaguzi ilikuwa jimbo pekee lilopata mbunge kutoka CCM.
Mhe.Rais lengo la barua hii ni kukuomba wewe na serikali yako kusimamisha unyakuaji wa ardhi ya wananchi wa tarafa ya Ngorongoro zaidi ya 1400kmsq, hili ni muhimu sana serikali yako ya mkoa, na wizara wakae na wananchi na watoke wakiwa na jambo moja na siyo upande wa serikali kuja na maamuzi bila kujadiliana na wananchi hao.
MHe Rais kuhusu tarafa Ngorongoro inayopatikana mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro hapa kuna janga kubwa na wahifadhi na wizara haswa naibu waziri wa mali ya asili na utalii wanakugombanisha na wananchi hao.
Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya Ngorongoro walihamishwa na serikali ya kipindi hicho kutoka Serengeti na kuletwa Ngorongoro, kwa mkataba maalum!!
Mhe.Rais kama wanavyotishiwa na wahifadhi kwamba serikali itatumia nguvu ya kijeshi ya kuwaondoa kutoka Ngorongoro kwenda maeneo mengine tunafikiri siyo sahihi, kwani watu wapo kisheria.
Mhe.Rais ni kweli idadi ya watu wameongezeka kama watanzania wengine, na suala la uhifadhi wa ngorongoro kama jamii ya kimasai is our first priority, tuliilinda, tunailinda tutailinda Ngorongoro despite ya challenges tunazopitia kutoka kwa wahifadhi haswa mhifadhi mkuu, na kwa hili hatuna shida katika kuachia maeneo ya mapito ya wanyama kama itaonekana tunazitatiza, pia Tyr kuilinda hifadhi kama serikali na wizara mtakaa na wananchi katika meza moja ya mazungumzo!
Ni sahihi kwamba mhifadhi mkuu hajali maslahi ya jamii, anakugombanisha na wananchi wa ngorongoro lakini wananchi bado wapo tayari kushirikiana na serikali kuilinda Ngorongoro kwa maslahi ya nchi yetu na vizazi vijavyo!
Mhe.Rais wewe kama wewe fika jimboni Ngorongoro, chukua maoni ya wananchi na nina Imani wananchi watakupokea na kusikiliza kwa heshima kubwa sana, lakini kama mtaendelea kuwatumia watu kama mhifadhi mkuu manongi Serikali itaendelea kupoteza wakati na mgogoro wa style hii haitaisha kirahisi, pia usikubali kudanganywa pata nakala ya uhamisho kutoka Serengeti ilikuwaje?pima madhara makubwa ya kuwaondoa bila kufuata sheria na utaratibu!, Pia pima kaka to Invict 100,000 kwa nguvu kama itakuwa na maslahi kwa nchi??, Kwa chama chako?
Nakutakia mwaka mpya wa 2022.
Kazi iendelee