Barua ya wazi kwa Rais kuhusiana na mafuta na gesi

With causious it might be a good idea. However, I would like to know how the local private sector would love to participate to this unique business of oil and gas. Watueleze waziwazi ni kwa jinsi gani wao wanataka kushiriki katika hili kisha sisi tutajadili ushiriki wao. Hatutaki watu wachache watumie uzawa katika kujinufaisha kwao wao wachache kama vile ilivyotokea katika madini ambapo walichukua maeneo yenye madini ambayo yalikuwa yakijulikana toka enzi za ukoloni na kufanya udalali na wawekazaji wa nnje waliokuwa wakifanyautafiti katika vitalu hivyo na wewe Watanzania wakipata percetange ya kuwapangisha hao wageni. Hushiriki hii hatuutaki kwa kuwa serikali kwa niaba ya sisi zote tunaweza kufanya hivyo. Sasa nataka kujua kwmaba wao wanataka kushiri vipi. Niko busy nitarudi tena baaade.

Student of Msc in Operations and Supply Chain Management (Ol, Gas and source of Energy), Liverpool University.

KUSOMA KWA UNDANI BONYEZA LINK APO CHINI

OIL AND GAS: OPEN LETTER TO MR. PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI

Barua inashauri kuhusu kuwa na baraza huru ambalo litawakilisha wananchi na kampuni za ndani za watanzania katika mafuta na gesi mbali na kuwepo kwa TPDC na wizara ya nishati na madini.
 
Back
Top Bottom