Barua ya wazi kwa rais ajaye. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya wazi kwa rais ajaye.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Original Pastor, Oct 25, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wandugu nimeona hili kwa RAIS ajaye achukue kama lilivyo kwani nimeona nchi nyingi kwasasa wanavuna mihela USD na uchumi kuwa juu sana ukilinganisha na Watanzania tunaobaniana kwa ajili ya maslahi kwani wenzetu Rwanda,Burundi,Kenya na Uganda wao wame send Military na Police wengi kwenye mission kwani hizi mission ndio zinaongeza kipato cha Mtanzania na Pia pato la Taifa na uchumi unakuwa kwa kasi: Mfano Rwanda hawalimi lakini Uchumi wao uko juu sana na unazidi kwenda juu kulingana na wao wanavyo send Troops na Police kwa mission mbalimbali kwani kila Troops akiwepo Mission analipwa USD 530 per day na Police analipwa USD 512 Per Day sasa haya mapato kwasababu Serikali yako imekutoa wewe inakupa nusu yake sasa hapo Serikali imepata hayta wewe umepata, Na nimependa hii Law yao kwa mtu akifa mission familia yake inalipwa USD 100,000(Dola Laki Moja) Je hapa si tumeondoa umasikini na Rushwa?? Sasa nakupa Tathimini ya nchi ambazo wenzetu wamepeleka Troops na Police ,:-Haiti,Yugoslavia,Lebanon,Nepal,Pakistan,Sudan ya kusini na Sudan,Kosovo,Liberia,Congo n.k Sisi tumepeleka wapi au kuoneana wivu??? Rais Ajaye ashughulikie hili kwa undani. mpaka sasa nimefatilia news Rwanda wana batalions 28 nje ya nchi na kila batalion kuna Soldier 800 sasa huoni kuwa nchi ya Rwanda imepiga hatua Nasikia Tanzania ni aibu kwani Nchi ina batalion 2 moja Sudan na ingine Lebanon Sasa huoni ni aibu kubwa tena na mimi nilikuwepo katika mchakato wa kuchaguliwa kwenda huko tukiwa Msata nikapigwa chini sasa nikaona kwanini ngoja nifatilie kwa umakini nchi zingine nikaona kumbe Tanzania tupo nyuma ndo maana uchumi wetu haukui. angalia Faranga ya Rwanda Elfu moja ni Elfu mbili ya Tanzania yaani faranga ukija kuichenji hapa kwetu Bongo Elfu moja Bureu wanakupa Elfu mbili yaani uchumi wao wametuzidi mara mbili.Shime Rais ajaye asome hili afuatilie nasikia kuna jamaa kule Ni Major anashughulikia watanzania kwenda mission kule UN Anajitahidi sana anahitaji Pongezi kubwa sana kwani amefanikisha mambo mengi hata hizi Batalion zisingeenda pasipo yeye.Wanajeshi wetu wanakaa tu polisi Rushwa tu lakini tungekuwa tupo mission aha mambo mswano.Mfano nchi ya Ghana kila Police na Troop ukiwauliza wanakwambia mission yake ya nne sasa niambie hapo rushwa itakuwepo??? Je hizo hela zinainginzwa kwa mahesabu ya Serikali kwani sasa tuna batalion mbili. Nchi mbalimbali zinategemea Kuvuna kutoka kwa Police na Troops iweje Tanzania Jembe la Mkono????????????? Uganga wana batalion 18 na Police 3600 wapo nje ya nchi wanakaa miaka miwili miwili wanarudi je sisi. Naamini Rais atakayetumia hii meseji atapata kura nyingi sana kwa Police naWanajeshi kwani wasipompa kura si hata kusupport tu iwe fair
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Heshima Mbele
  Kipindi hiki kigumu cha uchaguzi nimeoteshwa kuwa Dr.Slaa Amepata ushindi wa 95% na Dr.Kikwete 95% jamani imekaa vipi hii?? Tuchangia basi hili swala la Diplomatic
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MAANA YAKE: Kura yako moja ndiyo itabadilisha hayo matokeo, usiache kupiga kura.
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mhhh..........! .............?????????? Hainingii akilini kabisa......! Aidha, nipo :confused2:....!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Hakuna watabiri wa ndoto huko uliko wakupe tafsiri au wewe sio muumini wa utabiri wa ndoto...
   
 6. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapa jamaa kanidokeza kasema niende Bongo nikabadilishe matokeo Dr.Slaa Ashinde Je Online kupiga kura inawezekana? Jamani tujadili jambo la msingi
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mpo wandugu
   
Loading...