Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
- Thread starter
- #61
Waliletwa kinyume cha sheria, wakashikiliwa kinyume cha sheria, na wameachiwa bila ushahidi wowote wa kuwatia hatiani.Kilichofanyika USA kwa kuwapeleka Guantanamo washukiwa wa ugaidi wa Alqaeda ni sawa na kilichowaleta Tanzania bara washukiwa wa ugaidi wa Uamsho. Mahakama ya Tanzania haina jurisdiction kwenye makosa yanayofanyika ardhi ya ZNZ kwa kuwa ZNZ ina Mahakama yake.
Mahakama ya Rufaa pekee ndiyo suala la Muungano.
Tunajua vizuri kuwa ishu ya Masheikh wa uamsho ni vuguvugu lao la kutaka zanzibar yenye mamlaka kamili na wala siyo Ugaidi.