Barua ya wazi kwa mkuu wa wilaya mpya ya Morogoro

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
Mheshimiwa mkuu wa wilaya heshima nyingi pia natumai umzima kiafya.
Ama baada ya salamu, nikupe pole kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya wilaya hii. Ndiyo, pole. Pole kwa kuwa nafahamu changamoto ambazo utaenda kukutana nazo katika wilaya hii. Labda nikwambie tu, wilaya hii nahisi ndiyo wilaya yenye vichekesho vingi kuliko wilaya nyingine yoyote ile.

Baadhi ya vituko hivyo ni kama ifuatavyo:
1. WILAYA HII OFISI ZAKE ZIPO KATIKA WILAYA NYINGINE.
Kifupi majengo yanayotumiwa na wilaya hii yapo katika halmashauri ya manispaa ya Morogoro hivyo hakuna jengo la halmashauri ndani ya wilaya husika.

2. HAKUNA HATA MITA KUMI ZA BARABARA YA RAMI.
Hii ni moja ya wilaya ambayo toka uhuru awajawahi kuona hata kipande cha mita kumi za rami pamoja na umuhimu wa eneo la morogoro vijijini kwa kuwa na eneo kubwa la ardhi inayofaa kwa kilimo.

3. HAKUNA HATA SHULE MOJA YA SEKONDARI YA JUU (ADVANCE LEVEL)
Katika wilaya hii hakuna hata shule moja ya sekondari ya juu yaani advance level. Shule kongwe katika wilaya nzima ni Matombo sekondari.
Ila, karibu na usiogope

4. HOSPITAL YA WILAYA KITUKO.
Hospitali ya wilaya ipo sehemu moja inaitwa Tawa naamini watakupeleka na utaiona wewe mwenyewe. Kama ingekuwa Dar es salaam naamini ningeifananisha na kituo cha afya cha tabata au Tandale kwa mtogole.
Ila karibu usiogope, tutakupeleka

5. UKUBWA WA WILAYA YENYEWE NAYO NI CHANGAMOTO
Kijiografia wilaya ni kubwa yenye vijiji vingi ambavyo vingine havifikiki kirahisi. Vijiji vya Nyingwa, Lanzi, Lumba, Kitengu, Dehele, Mwangazi na kiunza. Vijiji hivi nilivyokutajia, kuna watu wanakufa hawajawahi kuona gari. Kuna maeneo mengine sijui hata kama serikali yenyewe kma inayatmbua.
Ila karibu usiogope tutakupeleka.

Tafadhali ukija huku, acha ujuaji shirikina na watu, nakwambia hivyo kwa nia njema tu, kwa kuwa nawajua watu wa huku vizuri pengine kuliko wewe.
Karibu sana mheshimiwa, karibu mkuu wa wilaya. Labda wewe unaweza ukawa tumaini jipya la wilaya hii, maana hawa wabunge wamepita wengi hatujawa na manufa nao.

Wakuu wa wilaya nao wengi walikuwa ni wale wale.

Ni mimi mwenyeji wako.
 
Indhari tosha sana kwa huyo Mheshimiwa anayekuja
 
ADHIBITI WEZI WA MIZIGO KWENYE MALORI KIHONDA NJIA KUU YA DODOMA.
 
Hamieni huku moshi kwa Mbatia.....tatizo mmeikumbatia ccm miaja yote hakuna cha maana
 
weee,mlima chamanyani hauna Lami,acha sound mkuu,wengine tunapajua huko

Ile siyo rami bro, mmewekewa taka ya rami iliyochimbuliwa sehemu. Wameweka katika sehemu zote za hatari katika barabara ile. Mfano pangawe, msitu wa kibungo na hapo chamanyani.
Kimsingi ile siyo rami ndiyo maana inafika kipindi cha mvua inatoka.
 
Chamanyani nimepita sana Mkuu wangu...nikiwa naelekea maeneo ya Kangazi/Mbarangwe sijui nako huko ni eneo la Wilaya tajwa....ile kweli sio lami mkuu wangu...nakubaliana Na wewe 100%...ila kwa mashamba..Mkuu mashamba mnayo...ila kuna tatizo la pembe mkuu wangu naona hujaligusia Kabisa..
 
weee,mlima chamanyani hauna Lami,acha sound mkuu,wengine tunapajua huko
kweli sisi waruguru tutabaki kuwa washamba wa maisha. yani lami inayochimbwa katika barabara za mikoa ya wenzetu tunakuja kurundikiwa sisi maeneo yenye mashimo sisi tunaona tumepaata.
elimu, elimu, elimu
 
Mwambie huyu inaonekana katoka huku siku nyingi! IPO pia kibungo chini na ofsi za halmashauri zote nchi nzima zenye Manispaa zipo ndani ya Manispaa ambacho sioni cha kumfanya mwandishi ashangae"! Awe tu wazi aseme anataka ofsi za halmashauri zihamie kijijini kwake tutamwelewa!
 
Ile siyo rami bro, mmewekewa taka ya rami iliyochimbuliwa sehemu. Wameweka katika sehemu zote za hatari katika barabara ile. Mfano pangawe, msitu wa kibungo na hapo chamanyani.
Kimsingi ile siyo rami ndiyo maana inafika kipindi cha mvua inatoka.

tatizo wewe unataka lami kama za high ways a daraja la kwanza,hizo ndio lami nyingi za barabara za zisizo za highways,ulichoniacha hoi kutoutaja hata huo uchafu wa lami
 
Mwambie huyu inaonekana katoka huku siku nyingi! IPO pia kibungo chini na ofsi za halmashauri zote nchi nzima zenye Manispaa zipo ndani ya Manispaa ambacho sioni cha kumfanya mwandishi ashangae"! Awe tu wazi aseme anataka ofsi za halmashauri zihamie kijijini kwake tutamwelewa!

Inawezekana wewe umekulia huko kijijini na umezaliwa huko, hujawai tembea katika mikoa mingine. Hebu fanya safari njoo hata bigwa tu hapo uione lami inavyofanana.
Unajua ofisi za wilaya ya kilosa zilipo?
Unajua ofisi za wilaya ya mvomero zilipo?
Hizo zote pamoja na kilombero, malinyi, ulanga zote ofisi zao zipo katika wilaya zao.
Acha kudanganya watu ukatufanya sisi wote ni wkuja kama wewe!
 
tatizo wewe unataka lami kama za high ways a daraja la kwanza,hizo ndio lami nyingi za barabara za zisizo za highways,ulichoniacha hoi kutoutaja hata huo uchafu wa lami

Hivi nyinyi watu mnaijua lami kweli nyinyi!?
 
kweli sisi waruguru tutabaki kuwa washamba wa maisha. yani lami inayochimbwa katika barabara za mikoa ya wenzetu tunakuja kurundikiwa sisi maeneo yenye mashimo sisi tunaona tumepaata.
elimu, elimu, elimu

Rudi kijijini kwako uweke lami wewe,kazi kulalamika wakati huchangii lolote maendeleo ya kwenu
 
Hivi nyinyi watu mnaijua lami kweli nyinyi!?

we mluguru wa dar umeijua lami baada ya kupandia treni kisaki kwenda dar,sasa hv umeona lami unajifanya mjuaji,umechangia vp uchumi wa kwenu kuishawishi serikali iwaletee lami?
 
Rudi kijijini kwako uweke lami wewe,kazi kulalamika wakati huchangii lolote maendeleo ya kwenu

By the way hii ilikuwa ni maoni kwa mkuu wa wilaya mpya na kuoneshwa changamoto za wilaya. Sasa kama wewe unaona wilaya hii hakuna changamoto yoyote sawa.
Ila hayo unayoyafanya ni mambo ya kizamani. Mtu akikwambia umekaa uchi hajakudhalilisha, nia na madhumuni yake ni ukae vizuri na uvae nguo.
Elimika.
 
we mluguru wa dar umeijua lami baada ya kupandia treni kisaki kwenda dar,sasa hv umeona lami unajifanya mjuaji,umechangia vp uchumi wa kwenu kuishawishi serikali iwaletee lami?

Nalipa kodi ndiyo kazi yake haswa na nina haki ya kuhoji kodi yangu inatumika vipi, hasa pale ninapoona mikoa ya wenzangu mpaka barabara za kuvukia ng'ombe zina lami.
We jifungie huko huko kwenu tununguo, njoo mjini uone brother.
 
By the way hii ilikuwa ni maoni kwa mkuu wa wilaya mpya na kuoneshwa changamoto za wilaya. Sasa kama wewe unaona wilaya hii hakuna changamoto yoyote sawa.
Ila hayo unayoyafanya ni mambo ya kizamani. Mtu akikwambia umekaa uchi hajakudhalilisha, nia na madhumuni yake ni ukae vizuri na uvae nguo.
Elimika.[/QUOTE

we unafikiria lami italetwa na mkuu wa wilaya?
 
Back
Top Bottom