BARUA YA WAZI –kwa Mheshimiwa Lowasa! C/o Mizengo Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BARUA YA WAZI –kwa Mheshimiwa Lowasa! C/o Mizengo Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gigo, Jul 7, 2008.

 1. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2008
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Lowasa…
  Mambo vipi?
  Hivi unafikiri Mkapa na Chenge wana hisi nini?...
  Ok!!........mmmmh!Samahani SANA- …..
  Nimekosea, nilipaswa nianze kwa kusema- Shikamoo!! Kama ilivyo kawaida na*destuli yetu…

  Ukizingatia,…….mmmmh!! - na- ni - ukweli kabisa!! Mimi ni Bwana mdogo..waweza kua ni Babu yangu!!Labda…kama una miaka zaidi ya 65, na hii heshima labda ina tokana na ina Wiana na wingi wa Mvi zako zako na umri wako!!

  Lakini nafikiri,,,,,, Hu jali hayo Mambo ….!! Na Kama unajari ! basi nita endelea kuku omba msamaha!.

  Bado nina endelea kujiuliza….na kutafakari…
  -Kama ninge endelea kuku Amini Wewe Fisadi kwa miaka yote ijayo….Leo ingekuaje? …………………………………………………………………………
  Nimefurahi na niNa hisi kushinda..!!

  Labda unacheka!!….na kudharau barua yangu- eti kwasababu hata ninae-*tunae muamini ni Fisadi!! Tena Tapeli zaidi ya wewe!..

  Ok!

  Najua Una ya jua yote hayo ,,,,,,,,,,, na-ndio maana unatuchukia sisi vijana!!!…
  CCM hutu amini,-hutu jali,-yote una weza wewe!…!kama ungekua una tuamini,,,,- ungeandika Kitabu..?!!!-Na ni ni kama tu ….tena Kama niliyo kushauri hapo awali!!…au ulikua una subiri Balali afe ili uje kunidanganya?

  Na kama ulikua na wazo hilo basi pingana na mimi mjukuu wako_!!

  *Samahani, tulia ……Jua mimi ni Kiongozi wako!!!japo Wewe ni Mzee Ulie na nguvu na akili Timamu!!sinto shindwa kuku adabisha kutokana na ukaidi wako..

  Nina- kuhakikishia hakuna baya litakalo kutokea!!.................-kama na ni –kama-tuu utakua Mkweli!!...

  Mimi ni Muongo kama Nyie!! Najutia uongo wangu!!…ndio maana nina hubiri ukweli!!-wa namna Zote!!..ikishindikana kabisa nita tumia logic!!..na nina Amini hapa nilipo fikia sio mwisho!!...
  Kama Wewe sio Muongo…basi nijulishe ili twende sawa!!

  Nilisha shiriki utapeli ….

  Ndio maana bado nina amini uli-Tapeliwa! Kama -huku -Tapeliwa basi ulikua una jua nini kinandelea!! Au Mlimtapeli Balali!!..........*Mugabe*!!

  Najua ni rahisi kusahau shida za watu wako!.....hii ina tokana na ina Wiana na Matapeli walio kua wamekuzunguka…wakati huo!!...Labda ni kwasababu Ulifikiri ni rahisi na itakua kazi kushitukiwa!!Na tayari itakua nimesharudisha hela!!....’?
  |usimchukie Mwakembe Kamwe!!! /……………………………….

  Labda hata sasa bado una Tapeliwa/!!na Matapeli wa fikra..!!na waogo wasiokua na logic ya uongo wao!!...Kama ilivyo tokea Bungeni….Chenge ana pakaza Dawa kwenye viti vya Bunge…Hivi ilikua ni kweli? Lowasa Nijibu tafadahali!!!.....Please!!

  Au inatokana na Moderator wako *wenu –Speacker!!

  Ulikua na hulka gani? Au labda ulitapeliwa na hisia zako?Mwenyewe!!.............. . - Niki maanisha ulijitapeli wewe mwenyewe?

  Kwanini bado nina Amini Ulitapeliwa…!!?-Labda haya yote yametokea kwasababu sikufahamu!! Basi andikeni hadithi zenu ili tuwafahamu!! Itatusaidia hata kuandika adithi zetu…!! CCM mmebana sana ndio maana tunachelewa!!...Mapambano dhidi ya umasikini ni mapambano ya kifikra… Bila jamii kufanya mabadiliko ya fikra Hatuta fika huko mnako fikiria…

  Kila mtu atimize wajibu wake…Na kuwajibika isiwe ni kukusanya vijisenti vya wananchi wako…au unasemaje?

  Mara Nyingi nime kua nikiambiwa …..Kwamba una miliki miladi mingi, pamoja na mali -…tena kwa kujificha- bila kutumia Jina lako –bali una watumia watu wengine !!!….hii ina maana gani? Una Mu hofu na nani?…Na ni kwanini?..tuwe wazi!!

  Japo hata kwa kuonyeshwa na kusimuliwa…lakini kwako Muheshimiwa LOWASA huwa nashindwa kuamini!!...kama ninavyo shindwa Kamini kwa JK..japo bado nina mashaka..!!!

  Kila kitu kina kuja na kuondoka!!amini usi amini……..lakini Kumbuka Histolia ina hukumu..

  Na-HaKuna mtakacho kosea tena na ni tena tu!!… mta-kua wakweli…Tutakua wakweli…Basi!!!

  …
  Mimi Kijana Mtaniona Muongo!!kwasababu mlini danganya!!Labada hata kwakuto kujua kwenu!!...ama kwa ujinga-wenu!! Lakini kwa kua nimeyajua haya yote ..Basi-wasi wasi wenu upo wapi?

  Nani alitutapeli?
  Chenge?
  Mkapa?
  Azizi?
  Balali?
  Nani? AU Wafadhili?

  Sema usikike?-Sema u-eleweke!?

  Tuna kuomba Ndugu yetu Utufahamishe.- Kwasababu huo ni wajibu wako Ukiwa ?kama….. kiongozi wetu!!Tufikishe mbali !!!kwa fikra zako..kama ilivyokua kwenye Mvua za kununua,!!….. sipendi kuku udhi..lakini napenda ku ku chekesha!!

  Ni kweli kabisa hupaswi kusema unaonewa kwenye Nchi yako …. labda kama una taka kuanzisha inchi nyingine..!!

  Tuna kupenda,
  Asante
  RICH MOND !! …..In a full effect!!

  PS when you reply don’t forget to say how is Balali?…
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Umeiandika wewe hii "barua"?
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  teh teh teh teh tehhhhheeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  why are you gigling..?
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I love this game!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  you are very giggly this morning.....
   
 8. M

  Mama JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Life is so goooooooooooooooood in here!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  where....in the kitchen or JF?
   
 10. M

  Mama JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  ha ha haaaaa, where do you think?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  in the kitchen where you are and belong
   
 12. M

  Mama JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  ndivyo ulivyo teh teh teh tehhhhheeeeeee, you are 0.25 right,
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  you say you are in the kitchen, don't you?
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  i dont say but I indicate, can't be in JF from the kitchen?
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  yes you can.....so i could be 100% right!!!! yiiiiipeeeeee
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  you should not be that much right, i belong to the bedroom and somewhere else!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  ...and the kitchen......
   
 18. M

  Mama JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  by 25% only
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jul 7, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  ...oh okay...that's a decent amount....
   
 20. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mmmmmmmh, I love JF "Where we dare to talk Openly"
   
Loading...