Barua ya wazi kwa mheshimiwa Doto Biseko

nakuapia sio mm sinaga mishe za kuzurura hovyo

QUOTE="samurai, post: 32415089, member: 28531"]
yaani leo nimekunasa live live, ila usiogope mimi sio wale ndugu zetu... Kesho kaa mkao wa kula..
[/QUOTE]
 
nakuapia sio mm sinaga mishe za kuzurura hovyo

QUOTE="samurai, post: 32415089, member: 28531"]
yaani leo nimekunasa live live, ila usiogope mimi sio wale ndugu zetu... Kesho kaa mkao wa kula..
[/QUOTE]
 
Nb : Mheshimiwa kuna hili jingine nilisahau..wenye maduara wanatakiwa kuwa na vitambulisho vi5..vile vya wajasiriamali..! na pia wenye mialo nao had operator wanatakiwa kuwa na vitambulisho...na wponda mawe wanatakiwa kuwa navyo na waoshaji..jaman naandika haya mie wananisumbua sana hapa mwaloni..mie nachojua mwenye biashara ndo anatakiwa kuwa na kitambulisho sasa kama nna vijana 5 wote wawe navyo?? stupid
Serikali ikitaka uwalipie mchango wao kila mwezi wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi pamoja na social security funds zao utakua tayari?

Yaani wao kulipa 20,000 kama kodi ya mwaka mzima napo mnaona mpo jehanam, binadamu kiumbe wa ajabu Sana.
 
Back
Top Bottom