Barua ya wazi kwa mheshimiwa Doto Biseko

Mie nimewaongelea wanawake wasio na uwezo hata wa kusikilizwa!...
Shida ni kwamba Mane umefunga pm asee isingekuwa ivyo maulizo yote yangekuwa yanaishia uko pm ila sasa pm ndo umefunga, fungua basi pm ata kwa muda utuokoe wadau bi dada tayari wewe ushakuwa insipiration kwa baadhi yetu so si vyema kutuacha njiana tusave kwa pale unapoweza na kikubwa tunachotaka apa ni njia na viushauri viwili vitatu mama Mungu akauongoze moyo wako kulifikiria ili Mane mi bado niko na wewe kuanzia kule mpaka uku
 
Nb : Mheshimiwa kuna hili jingine nilisahau..wenye maduara wanatakiwa kuwa na vitambulisho vi5..vile vya wajasiriamali..! na pia wenye mialo nao had operator wanatakiwa kuwa na vitambulisho...na wponda mawe wanatakiwa kuwa navyo na waoshaji..jaman naandika haya mie wananisumbua sana hapa mwaloni..mie nachojua mwenye biashara ndo anatakiwa kuwa na kitambulisho sasa kama nna vijana 5 wote wawe navyo?? stupid
 
Mmmh iyo nayo si mchezo asee ni balaa ilo ndo changamoto mane kama unavyojua ktoka ni ngumu sana asee!!
 
Nb : Mheshimiwa kuna hili jingine nilisahau..wenye maduara wanatakiwa kuwa na vitambulisho vi5..vile vya wajasiriamali..! na pia wenye mialo nao had operator wanatakiwa kuwa na vitambulisho...na wponda mawe wanatakiwa kuwa navyo na waoshaji..jaman naandika haya mie wananisumbua sana hapa mwaloni..mie nachojua mwenye biashara ndo anatakiwa kuwa na kitambulisho sasa kama nna vijana 5 wote wawe navyo?? stupid
Nje ya mada kidogo,waweza nambia gharama za kuanzisha mwalo wa kuoshea dhahabu unagharama gani ule wa kawaida tu lakn?
 
Mara nyingi 89% mfuko mmoja wa felo ukitoa sana dhahabu bas ni point 4 hv..hii point 4 ni shilingi 28000/=
Mtu mwenye mwalo akikata huduma zake zote yaan:
Kusaga2000/=
Kuosha2000/=
Kuchenjua 2000/=
udhamini wa usafirishaj na ushuru 2000/huyu mama anabaki na 20000/=
Huyu mama hajala .. hajaoga..maana kuoga 500/=
Achana na huyu alibahatika kupata point 4..kuna wale wanapata point 1 au 2! anabak analia tu na lazima deni likatwe Mama wa aina hii asbh atashindwa kwenda kununua tena felo..atashindwa kuwatumia hela watoto wake walau ya kula..

Manengelo
Samahani nina maswali kama matatu hivi...,
Je lazima kila mtu akichukua huo mzigo wa elfu 10 anapata at least point moja au mbili..., au kuna kupata sifuri ?

Kama 89% ni kupata point 4 it means kwa mahesabu ukichukua mifuko kumi zaidi ya mitano utapata hizo point 4 kwa begi.., kwahio ni numbers game ukichukua mifuko mingi uwezekano wa kupata point nne ni mkubwa zaidi..

Samahani tena sijui hii biashara huenda nikawa ninakosea....

Kama nipo sawa hapo juu kwanini hawa kina mama wasiungane na kuchukua mzigo mkubwa kwa pamoja ili on average wapate faida ?

Pili badala ya kuwaombea wapate punguzo la Kodi ili waendelee kuwa wadogo kwanini wasiwe empowered wapate mwalo wao wa umoja wa hao kina mama wasiojiweza soon to be wamama wanaojiweza ?
 
Naanza kujibu la chini..majirani zangu almsost wote wako share..kuna baadhi ya mialo imedoda..wanagombana hawaaminiani..mfano..maji yakiisha kuweka inarange 70 had laki 1..ss ww usipokuwepo unahis unapgwa..na jingine sio wote wana uwezo mmoja so kunakutegeana sana sana. wananiambia bora ww dada uko alone..!mercury ikiisha kununua kimbembe..so hawa wamama wataface haya haya...

2.kupata sifuri kabisa hakuna..ila kupoteza hela yako easy..unaweza nunua mfuko kwa 200000k..ukaja pata 20000/= ..so mtaji utakatika .ila kutolata kbs mie sijawah ona..kukatwa mtaj ndo hizo point 1 7000/=
 
Hata huo mwalo kwa sasa kuuendesha ni mateso matupu, kwasasa uchimbaji umekuwa ni shida saana na hizi tozo za kila siku..

hahahha sasa mm nahonga au😅..kuendesha mwalo kama unanhela ya mfukoni utakonda .hahaha..tagfuta chanzo kingine
 
Nakuunga mkono ndugu yangu japo nilikuwepo hapo nilipokuja nyumbani na nilipata kufika namba 9 kabla hawajaanza namba 2. Halmashauri ya wilaya ya Msalala hawapo kwa ajili ya kumsaidia mtu wa chini kujikwamua kimaisha. Wana lundo la tozo kuliko hata bandarini Dar Es Salaam. Wananchi wa huko hujuta wakiomba bora wangebaki na wilaya ya Kahama. Umesahau namna matimba yanavyotozwa ushuru na ubabe mwingi tu usiovumilika huku barabara ya kutoka Kakola hadi Manzese Kahama ikiwa na vumbi bila hata ukarabati wa maana. Duh natamani siku nikija nikukute pale mwembeni jirani na parking ya bajaji na yanapouzwa matikitimaji
 
Back
Top Bottom