Barua ya Wazi kwa Mh. Januari Makamba, Waziri wa Mazingira

Ulivyoandika mwanzoni ulionesha kwamba wewe ni mtalaam sana na unajua kanuni za miradi na EIA. Nami nikakuukiza swali linahusiana na utaalamu wako. Nilitegema utoe jibu la kitaalamu na sio aina hii ya maelezo. Hata hivyo nakushukuru kwa ushauri wako wa kitaalamu maana huenda wewe ni mmoja wa waliotumika kufanya EIA hapa kwetu.

Ndio mana sisi tunatafuta msaada wa viongozi wenye mamlaka watusaidie kutoa mwongozo iwapo haya ndio maamuzi yenu ya kitalaamu. Ila nikushauri usifanye masihara na maisha ya watu. Fanya hivyo kwa mambo mengine kama ni lazima kwako.

Again, nakushukuru.
Nashukuru mh waziri kuchukulia suala Hili positive na hatua stahiki zitafuatwa
 
Kwanza niwape pole kwa kuangaika muda mrefu lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu na kufuata utaratibu Jana Usiku niliona uzi Huu hapa nikawasiliana na mh waziri Namshukuru mh waziri kuchukulia suala Hili positively. Nina imani na serikali ya Chama Cha Mapinduzi Nina imani na Mh January Makamba. Ongera ndugu Mathew mndeme
 
Back
Top Bottom