Barua ya wazi kwa mawaziri wanne: Internet Ngorongoro, Serengeti kizungumkuti

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
BARUA YA WAZI KWA MAWAZIRI WANNE WA TANZANIA:

Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt Pindi Chana

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Mhe. Nape Nnauye

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano
Prof Makame Mbarawa

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Mohamed Mchengerwa.

YAH: NETWORK, INTERNET NGORONGORO, SERENGETI KIZUNGUMKUTI.

Waheshimiwa Mawaziri,

Kabla ya kuwaomba mhusike na kichwa cha habari hapo juu, naomba niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hongereni kwa kufanya kazi kubwa kwa ajili yetu sisi wananchi.

Kwa majina naitwa Suphian Juma Nkuwi, ni raia wa Tanzania, mdau mkubwa wa masuala ya Utalii. Nimeona ni vema niwaandikie hii barua ya wazi kuhusu kadhia tajwa hapo juu kwakuwa Wizara mnazozisimamia, kwa namna moja ama nyingine kero husika inaangukia kwenye Wizara zenu na hivyo mnawajibika kuitatua. Na lengo ni moja tu, kujenga Taifa letu pamoja kwa kukuza uchumi Shirikishi kupitia Sekta ya Utalii kwa kushirikiana kuondoka kero mtambuka.

Hii inatokana pia na kuona dhamira ya dhati ya Rais Samia ya kuikuza Sekta hii ya Utalii kupitia filamu ya TANZANIA ROYAL TOUR ambayo kimsingi inaendelea kuleta mafuriko ya Watalii katika vivutio vyetu. Kwa mujibu wa takwimu za Serikali, Katika mwaka mmoja wa Rais Samia watalii wameongezeka hadi kufikia 922,692 mwaka 2021 kutoka Watalii 620, 867 mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la mapato Trilioni 3.2 mwaka 2021 kutoka mapato ya Trilioni 1.6 mwaka 2020.

Waheshimiwa Mawaziri,

Mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu wa 2022 mimi Suphian Juma kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Shindano la MISS JUNGLE INTERNATIONAL nikiambatana na washiriki na timu nzima ya Shindano hili tulipata fursa kutembelea vivutio mbalimbali nchini hususani vilivyopo Kanda ya kaskazini.

Kabla sijaendelea, niwatambulishe kwenu Miss Jungle International ni kitu gani haswa!? Hili ni Shindano la Kimataifa ambalo limeanzishwa kwa mara ya kwanza duniani na kijana wa Kitanzania aitwaye Samwel Charles Malugu ambalo limejikita kwenye kukuza Utalii, kutunza mazingira na kutangaza Madini yetu na kipekee KUUNGA MKONO FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR ya Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan.

Shindano hili ambalo hadi sasa linadhaminiwa na TANAPA, Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), GOSHENI SAFARIS, A1 HOTEL, MOZETI TOURS, TALII POPOTE na LAMBERT CONSULTANTS linatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza Tanzania likishirikisha walimbwende kutoka nchi zaidi ya 50 ambapo watapata fursa kutembelea vivutio mbalimbali Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar kama ambavyo Rais Samia alitembelea akirekodi filamu ya Royal ambayo imeleta chachu kubwa katika Utalii wetu duniani.

Waheshimiwa Mawaziri,

Kama mpango mkakati wa Shindano hili, kuanzia katikati hadi mwisho wa Mwezi Julai mwaka huu tulifanya "pre tour" baada ya kuwapokea walimbwende nane kutoka Bara la Afrika, Ulaya na Asia kutoka nchi za Jamhuri ya Czech, Hispania, Uturuki, Ghana, Nigeria, Guinea, Kenya na wenyeji wao mamiss kutoka Tanzania na Zanzibar. Lengo ni kutembelea vivutio vyetu ili kuleta "awareness" kuelekea tukio kuu la Novemba mwaka huu ambapo Tamasha hili litakalofanyika Rasmi nchini.

Waheshimiwa Mawaziri,

Miss Jungle International kama tulivyopanga kutembea juu ya nyanyo za Rais Samia alipotembelea akirekodi ROYAL TOUR, baada ya kutoka mgodi wa Mererani mkoani Manyara ambapo walimbwende walijionea mubashara dini la kipekee la Tanzanite, tukiwa na udhamini wa kampuni ya Tours ya GOSHENI SAFARIS tulisafiri kutembelea na kujionea UPEKEE wa Urithi wa Dunia (Hifadhi ya Ngorongoro), Serengeti na Olduvai Gorge.

Waheshimiwa Mawaziri,

Ni ukweli kwamba sote tulifurahia sana kuona Misitu asili ya Ngorongoro, kuona BIG 5 (wanyama wakubwa duniani) Ndani ya saa 2, na madhari nzuri za kuvutia hapo Crater Ngorongoro, hivohivo mbuga za tambarare, wanyama mbalimbali ndani ya Hifadhi za Serengeti na pia kupata historia ya mabaki ya binadamu wa kale Olduvai Gorge.. Hakika tulipata raha mfululizo.

Waheshimiwa Mawaziri,

Aidha Ilikuwa faraja kubwa kuona Mamia ya Watalii wakimiminika Ngorongoro, Olduvai Gorge na Serengeti kiasi cha kwamba kuna nyakati kulikuwa na foleni njiani maana magari ni mengi sana asubuhi hadi jioni, na ndipo Siku hiyo tumeingia Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela alitangaza jumla ya magari zaidi ya 350 ya Watalii yameingia Ngorongoro ndani ya siku moja. Hili binafsi lilinikumbusha kwamba kweli Filamu ya Royal Tour imeleta matunda maridhawa na ndio maana sisi Miss Jungle International tukaja na kauli mbiu TANZANIA ROYAL TOUR MATOKEO TUNAYAONA.

Waheshimiwa Mawaziri,

Licha ya matokeo haya chanya ya Royal Tour, na furaha tuliyoipata kama watalii ila binafsi na timu yangu na hata watalii wengine wengi tulipokutana nao, tulijikuta tunakatishwa furaha hiyo kwa kukosa NETWORK imara za Simu pamoja na huduma ya uhakika za INTERNET kuelezea furaha hizo kwa watu wengine duniani ili nao waone na washawishike kuja kutembelea Hifadhi zetu.

Changamoto hii inaweza kuonekana ni ndogo ila ni kubwa mno, maana imagine sisi tu Miss Jungle International tulienda na waandishi wa Habari, mimi kama mkuu wa Kitengo cha Habari niliwasimamia wakarekodi kila pahala tulipopita, uzuri wote wa Ngorongoro, namna walimbwende kutoka Mabara mengine walivyokoshwa na kuonesha na kuongelea uzuri wa Ngorongoro, Serengeti na Olduvai Gorge lakini habari hizo ndani ya Siku 3 tulizokaa huko walishindwa kuzituma kwenye Media houses zao ili ziwafikie wananchi wote na watu wengine duniani kisa likiwa ni kimoja tu; kukosa INTERNET MADHUBUTI.

Tulijiulize kama habari zingetumwa zikaonekana kwa Televisioni zetu zote kubwa, magazeti, Radio na TV za mtandaoni watu wangapi wangeona na kuona haja ya kuja kutembelea Hifadhi zetu?

Sio sisi tu, karibia kila pahala nilipokutana na watalii kutoka nje ya Bara la Afrika, nao pia niliwasikia wakilalamika changamoto ya INTERNET hafifu, mfano kwenye geti la NAABI lililopo Hifadhi ya Serengeti ambapo watalii wengi hutua hapo na kupata chakula, vinywaji na mapumziko ya muda; kuna raia Mmoja wa Italia akiwa na Familia yake ya watu 6 waliniuliza namna gani wanaweza kupata internet Imara kwani WIFI ilikuwa dhaifu kiasi cha wao kudai kushindwa "kudownload video zao walizorekodi Hifadhini " na kutuma picha mtandaoni. Hakika nilipatwa na kigugumizi ikabidi niwafariji tu kwamba changamoto hii inashughulikiwa maana mimi mwenyewe pia nilikuwa nahangaika na tatizo hilohilo.

Sasa tujiulize hawa watalii tena wengine ni watu maarufu kama tulivyoona wachezaji na Wanamziki nguli duniani wamekuja Hifadhi zetu, je wangepata internet bora, waka-post mtandaoni, ndugu, marafiki na jamaa zao wakaona, wasingeshawishika kuja? Hatuoni tunakosa "Free promotion" ya vivutio vyetu kutoka kwa mabalozi wetu hawa?

Na ieleweke kikawaida Binadamu akiwa na furaha ndio muda sahihi akielezea hiyo furaha kwa wenzake kuliko kuja kuielezea furaha hiyo siku nyingine. Yaani mtalii akiwa mathalani Ngorongoro huwa inaleta maana akisema "nipo Ngorongoro muda huu najionea Urithi na Fahari ya dunia kutoka Tanzania" kuliko kukosa internet aje ku-post wiki inayofuata akirudi kwao huko Marekani kwamba "Alikuwa Ngorongoro..."

Waheshimiwa Mawaziri,

Kutokana kadhia hii ya Internet ni dhahiri kwamba tutajikuta hatumsaidii Rais wetu Samia ambaye anapambana kuleta watalii kutoka pande zote za dunia halafu wakija wanakuja kuboreka na Kukosa haki ya kupata habari, na kusambaza habari tena njema kuhusu vivutio vyetu kisa INTERNET, kiukweli tutakuwa tunahujumu juhudi za Rais wetu aidha kwa kujua ama kutokujua.

Hivyo, Waheshimiwa Mawaziri naomba nipendekeze kwenu kama viongozi wetu wahusika hatua zifuatazo ambazo nadhani zikitekelezwa janga hili la INTERNET katika vivutio vyetu litakoma;

1) Ni vema kupitia upya Sera na Sheria za Utalii na Uwekezaji, pamoja na mambo mengine, zitie uzito kwenye ujenzi wa miundo Mbinu ya uhakika ya Mawasiliano na Habari ndani ya vivutio vyetu vyote nchini ili haki na Uhuru wa watalii wetu kupata huduma ya INTERNET Imara ikomeshwe.

2) Serikali na Taasisi zake za Utalii zifanye Utafiti kujua ukubwa wa changamoto ya NETWORK na INTERNET kwenye maeneo ya uhifadhi na kwa kiwango gani kutokwepo huduma hizi muhimu za mawasiliano zimewakumba na kuwakera watalii na kuwakatisha moyo wa kurudi tena kutalii.

3) Serikali iandae program za makusudi za kuwajengea uwezo na ujuzi wawekezaji wa Utalii kama vile wenye mahoteli, Camp sites, Makampuni ya Utalii na Taasisi za Utalii kama TANAPA, NCCA, TTB, TAWA na kadhalika kuelewa na kusimamia KIKAMILIFU Mahusiano Kati ya Watalii kuvutiwa na vivutio vya Utalii na Haki yao ya kupata mawasiliano na kupashana habari wakiwa Hifadhini. Hii itahusisha pia kuwataka kuwa wabunifu, na wawekeze zaidi kwenye sekta ya mawasiliano na Habari kukidhi ushindani wa biashara ya Utalii duniani.

4) Serikali ichukue hatua za dharura za kuimarisha miundo mbinu ya mawasiliano kwenye vivutio vyetu vya Utalii ikiwemo kuboresha huduma ya Mkongo wa Taifa, na kuwahamasisha kampuni za mitandao ya Simu nchini kusambaza minara ya mawasiliano na kuimarisha huduma za internet kwa ujumla kwenye maeneo ya Uhifadhi.

Waheshimiwa Mawaziri,

Natanguliza samahani kwa kuchukua muda wenu kusoma barua hii ya wazi, nipo tayari kusahihishwa, kuhojiwa kufafanua zaidi panapobidi na naamini ushauri wangu utafanyiwa kazi.

Mwisho naomba ifahamike hii barua ya wazi ni ya kutoka kwangu BINAFSI Suphian Juma kama raia wa Tanzania , na wala haihusiani na sio barua kutoka kwa uongozi wa Shindano la Miss Jungle International.

Nawatakia kila la kheri katika majukumu yenu viongozi wangu.

Suphian Juma Nkuwi ni mdau mkubwa wa masuala ya Utalii, Habari, Mawasiliano na Siasa. Ni mwandishi wa Habari na pia alishawashi na hushiriki masuala mbalimbali ya Siasa nchini. Pamoja na nyazifa zingine, aliwahi kugombea Ubunge mwaka 2020 Jimbo la Singida Magharibi. Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Suphian Juma Nkuwi,
Arusha, Tanzania,
Phone: 0717027973
Email: yessuphian@gmail.com
IMG_20220805_152047_228.jpg
IMG_20220805_152005_238.jpg
 
kwani hiyo habari ilikuwa na udharura gani ili itumwe siku hiyo hiyo? kwani hata wangeituma baada ya siku Kumi kulikuwa na hasara gani.

Jambo Lingine naona umelenga kueleza tukio lako na walao sio NETWORK maana umetumia muda mwingi kujielezea wewe binafsi.

Mwisho hakuna mtalii aliyekuja kwa sababu ya Royal Tour japo watakuja ila baadae hata kama unataka uchawa tulia kidogo
 
...baada ya miuondombinu haya ya Internet/Network ndio pale ukamilishi wa miundombinu muhimu wa kujenga magorofa mbugani...itakamilika.
Ndugu, Barua itawafikia, kama vile walikuwa hawajui haya.
Wataijibu kuisoma.
Hizi mbinu! kodo!
 
Mbugani hakuhitajiki Network
Ni mahali pa mtu ku interact na nature ndio maana hata barabara za lami hakuna

Ile ni sehemu ya mtu ku relax mbali na simu kabisa na mbali na any distraction iwe simu or whatever
Wazungu wakikutana na rami sehemu hizo uchukia
 
Email: yessuphian@gmail.comView attachment 2315058View attachment 2315059
Ndugu Suphian habari,vipi matokeo ya ile nafasi ya Uongozi uliyogombea ndani ya Chama?? ulifanikiwa kushinda??
 
Mimi kwa upande wangu nikienda huko siitaji strong network, may be jioni wakati Nipo lodge, na lodges Zina strong network!
 
Unajitahidi Sana kuonekana lakini wapi?. Barua zako zimelenga kujitangaza na sio kutangaza tatizo.
 
Hatuwezi kuwawekea nyumbu internet wakati kunamaeneo yanawatu kibao na huduma hiyo hakuna.
Nyie jilieni wazungu huko shikaneni viunooo mpige mapichaaa mtaposti mkija mjini fulustopu
Unataka tuletewe tozo yakuhema (kila mhemo shng moja) ili mletewe intaneti? Unaijua srikali hii yauchumi wa mwehugulu wewe!!! Mstuletee shida bana
 
Back
Top Bottom