Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Kaka.. huko mbele hutafanya hata biashara hadi ulipe deni.Bila bumu nisingeweza kusoma so naishukuru sana bodi kwa hilo, ila baadaye nilikuja ‘kukengeuka’ na kuona hilo deni ni kubwa mno bora niache kuajiriwa kuliko kukatwa nitumike bure.... hiyo ni pesa pekee ya serikali ambayo kama raia nimeifaidi so kama hakuna namna nyingine ya kuniwajibisha nje ya ajira naomba tu tusisumbuane.
Serikali siwadai ajira ili wanilipe mshahara, nami msinidai bumu tufanye kama nimechukua GAWIO langu kama raia mwema.... win-win situation na kwa kweli sina mpango wa kulipa.