Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

Akijilipua mbele yako hautobaki salama, na wanaomzunguuka hawatobaki salama, cha msingi tetea haki ya wote ili watu wa kujilipua wasiwepo
Zama zimeshapita, sasa mnapaswa kutambua umuhimu wa elimu dunia dhidi ya dini, someni sana dini ikitokea kazi wenzenu wapeleke vyeti ninyi mpeleke misaafu kisha mje na machapisho mengi ya kumwandikia katibu kwamba mnabaguliwa!
 
Inabidi tubadirike wenyewe kwanza kisha ndio tuigeukie serikali

Swala la kuipa mgongo elimu dunia limetuathili sana na itachukua mda mrefu sana kulicover

Dar es salaam ndio mkoa wenye shule nyingi kuliko mikoa yote na baada ya Uhuru asilimia 90% ya wakazi wa Dar walikuwa ni waislam lakini walio kuwa wamejaa mashureni walikuwa ni wakristo

Mimi ni mkazi wa Dar baba yangu alikataa kunipeleka shule akanipeleka madrasa lakini mama akasema haiwezekani asisome shule mama ndio akanipeleka shule

Yani kwa kweli jamii za kiislam bado tunakazi za ziada sana kurekebisha hii tabia ya elimu dunia na elimu akhera sijui ni nani alipandikiza hii kasumba katika vichwa vya wazee wetu
 
Hizi unazoleta ni kejeli sasa, tumeshazizoea!
 
Huhitaji mamilioni ya wasomi kupata watu 1000 wa kuteua.
Wapo waislamu wa kutosha wenye vigezo vyote lakini teuzi wanapewa wakiristo kwa wingi zaidi kuliko waislamu
 
HAKUNA KITU HAPA, Hakuna kiongozi mwenye muda wa kushughulikia Uzushi na Malalamiko ya kila mara yasiyo na msingi.

SOMENI ACHENI KULIALIA NA KUILALAMIKIA SERIKALI BURE.

Kwanza mmeipuuza BAKWATA wakati ndio Baraza kuu la Waislam linalotambulika na serikali.

Msipojituma na kujiongoza wenyewe kwa weledi katika taasisi zenu mtalialia katika maisha yenu yote.

Wabillah Tawfiq,
 
Inabidi tubadirike wenyewe kwanza kisha ndio tuigeukie serikali

Swala la kuipa mgongo elimu dunia limetuathili sana na itachukua mda mrefu sana kulicover

Dar es salaam ndio mkoa wenye shule nyingi kuliko mikoa yote na baada ya Uhuru asilimia 90% ya wakazi wa Dar walikuwa ni waislam lakini walio kuwa wamejaa mashureni walikuwa ni wakristo

Mimi ni mkazi wa Dar baba yangu alikataa kunipeleka shule akanipeleka madrasa lakini mama akasema haiwezekani asisome shule mama ndio akanipeleka shule

Yani kwa kweli jamii za kiislam bado tunakazi za ziada sana kurekebisha hii tabia ya elimu dunia na elimu akhera sijui ni nani alipandikiza hii kasumba katika vichwa vya wazee wetu
Huu ni UKWELI ambao wenzio hawataki kuukubali badala yake wanailalamikia serikali au wanawalalamikia Wakristo.
 
HAKUNA KITU HAPA, Hakuna kiongozi mwenye muda wa kushughulikia Uzushi na Malalamiko ya kila mara yasiyo na msingi.

SOMENI ACHENI KULIALIA NA KUILALAMIKIA SERIKALI BURE.

Kwanza mmeipuuza BAKWATA wakati ndio Baraza kuu la Waislam linalotambulika na serikali.

Msipojituma na kujiongoza wenyewe kwa weledi katika taasisi zenu mtalialia katika maisha yenu yote.

Wabillah Tawfiq,

Hoja za Waislamu kusoma hazina Mashiko, ngoja nikuwekee listi ya baadhi tu ya Waislamu wenye PhD halafu ulete habari zako mbofumbofu za kuwa waislamu hawana Elimu.

1943367_20161125_090904.jpg

1943368_20161125_090922.jpg

Hizo ni PhD chache tu bado zipo nyingi tu ambazo hazijaorodheshwa hapo

Ukiacha hao kuna waislamu wana masters degree kibao, na wenye degree moja moja kibao

Sasa katika wote hao utaletaje hoja kuwa Waislamu hawana elimu ndiyo maana teuzi zinawapitia pembeni?

Hii ya kuteua 80% Wakiristo na only 20% waislamu wakati Waislamu wenye vigezo vyote wapo ni udini huu, hii haiko sawa hata kidogo

Japo ni kweli, Wakiristo wamenufaika na mifumo ya Elimu kwa wingi zaidi kuliko Waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Wapo waislamu wengi wenye vigezo vya kutosha kabisa kupewa nafasi na majukumu serikalini bila kulazimika kupendelea wakiristo!

hii 80% to 20% Ni udini mbaya sana
 
Hoja za Waislamu kusoma hazina Mashiko, ngoja nikuwekee listi ya baadhi tu ya Waislamu wenye PhD halafu ulete habari zako mbofumbofu za kuwa waislamu hawana Elimu.

View attachment 1507226

View attachment 1507228

Hizo ni PhD chache tu bado zipo nyingi tu ambazo hazijaorodheshwa hapo

Ukiacha hao kuna waislamu wana masters degree kibao, na wenye degree moja moja kibao

Sasa katika wote hao utaletaje hoja kuwa Waislamu hawana elimu ndiyo maana teuzi zinawapitia pembeni?

Hii ya kuteua 80% Wakiristo na only 20% waislamu wakati Waislamu wenye vigezo vyote wapo ni udini huu, hii haiko sawa hata kidogo

Japo ni kweli, Wakiristo wamenufaika na mifumo ya Elimu kwa wingi zaidi kuliko Waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Wapo waislamu wengi wenye vigezo vya kutosha kabisa kupewa nafasi na majukumu serikalini bila kulazimika kupendelea wakiristo!

hii 80% to 20% Ni udini mbaya sana
Hahaha...aisee mna muda ninyi Waislam

Hebu weka na list ya Wakristo wenye PHD
 
Hahaha...aisee mna muda ninyi Waislam

Hebu weka na list ya Wakristo wenye PHD

Wakiristo wenye PhD nao wako wengi sana tu, The main point ilikuwa ni kuwaonyesha wanaotumia propaganda ya elimu kuwa propaganda hiyo imepitwa na wakati kwa sababu waislamu wenye elimu na vigezo vyote va kuteuliwa wapo isipokuwa tu mamlaka za uteuzi zimeamua kuteua 80% wakiristo kwa sababu wanazozijua wao, lakini trend ya hizi teuzi inavyofanywa inaonyesha kuna kila dalili ya udini ndani yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom