Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1]Zanzibar's communities Uk & USA[/h]
amnesty-564x272.jpg

Amnesty International
1 Easton Street
London
WC1X ODW
UK
REF: HUMAN RIGHTS ABUSE IN ZANZIBAR ISLAND
Recent developments in Zanzibar show that the authorities there have taken a big step backwards in terms of human rights. Rampant and deplorable human rights abuses came to light during a series of events which led to confrontations between the police and followers of an Islamic organisation called UAMSHO (Awakening).
UAMSHO, a registered NGO, has been active in Zanzibar for a number of years now. In addition to its religious activities, it has taken part in observing elections, has produced well-researched reports on past elections and has provided civic education to the populace. The organisation has a wide grass root support within the community. Recently it has been actively championing for the restoration of Zanzibar’s sovereignty.
The government has accused it for inciting its followers to commit unlawful activities. UAMSHO denies it and has on its part accused government security apparatuses of inflicting harm on its followers during their peaceful demonstrations. This pattern of accusations and counter accusations culminated last month with the three day mysterious ‘disappearance’ of a charismatic leader of UAMSHO, Sheikh Farid Ahmed Hadi. UAMSHO maintained that the Sheikh was abducted by the security forces, a charge which the government denied.
However, when Sheikh Farid resurfaced he too intimated that he had been abducted by the security organs. The government’s response was to promptly arrest him together with his fellow leaders and to charge with several criminal offences. This came as no surprise as for weeks rumours were rife that the government was under pressure by diehards of the Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania’s ruling party, to ban UAMSHO. It is not our intention to judge the merit or demerit of the case as it is sub-judice.

What is troubling us is the well prepared measures to humiliate all the detainees connected with UAMSHO. By their actions the state organs have shown that they are bent on humiliating and dehumanizing the UAMSHO detainees. For example, despite knowing very well how Muslims sheikhs cherish their beards the sadist jailers have found it proper to forcefully shorn them of their beards. They did it even before the accused were brought to court for the first time. Defence lawyers have publicly complained of other forms of mistreatment meted out to the detainees. These include, denying them the opportunity to offer their obligatory prayers, denying them a change of clothes since their arrest and inhuman prison conditions. No doubt the jailers what they do to satisfy their primitive sense of power, to show Zanzibaris that they are capable of doing whatever they want to do and nobody can question them.
It is sad to note that the government has remained silent to all these injustices. The detainees constitutional rights are denied. The protests of their lawyers have fallen on deaf ears. In the meantime, indiscriminate harassment of ordinary citizens continues unabated. All those suspected of being sympathetic to UAMSHO are publicly brutalized. It reminds us of the dark days of Zanzibar when there was no respect for human rights.
We, therefore, appeal to all human rights activists to urge the Tanzanian and Zanzibar governments to impress upon their state organs the urgent need of according each and every citizen their human rights.
Copy:
Human Right Watch – UK
High Commissioner of United Republic of Tanzania – UK
High Commissioner of Republic of Kenya – UK
High Commissioner of Uganda – UK
Ban Ki-moon Secretary-General of the United Nations.
 
Hili shauri lipo mahakamani, na mahabusu wameshafungua kesi ya madai. Hakukuwa haja ya kupeleka AMNESTY
 
hawajagusia mauaji ya askari wetu. Sasa sijajua na haki gani wanazitaka ambazo zinavunja haki za kuishi za wenzao
 
Mbona hiyo barua imejaa uwongo? Eti kulikuwa na "peaceful demonstrations" huku makanisa yakiwa yamechomwa moto na hao UAMSHO? Wao kunyolewa ndevu ni ni issue wakati wao wanaharibu mali za wenzao, ama kweli mkuki kwa nguruwe....!

Wewe justice gani unayotetea ikiwa hutaki sheria ifuate mkondo wake? Kama wamechoma makanisa, si wameshakamatwa na uchunguzi wa polisi bado haujakamilika, kwanin unawahukumu kabla ya kuestablish kama ni kweli au la? Kama wana uhakika ndio wao, si wawafunge badala ya kuendesha kesi?
 
Hiyo barua imeandikwa na hao wazungu weusi au sheikh Farid mwenyewe?. Maanake ianaonekana inaelezea haki za wana Uhamsho bila kutaja haki za wasiokuwa wana Uhamsho.
Siamini kama hawajui kuwa kikundi hicho kinahusishwa na mauaji ya askari, uchomaji wa makanisa na mabaa na ualibifu wa miundo mbinu kama vile barabara na nishati ya umeme,kiukweli ni maelezo ya upande mmoja na aliye aandika inaelekea ni mwana Uhamsho.
Uhamsho inaelezewa kama NGO lakini ukiangalia harakati zao zimekaa kisiasa na kidini zaidi kama zilivyoainishwa kwenye hiyo barua kusika.
 
Wazanzibar kwa kujishaua utazani nchi yao ni bonge moja la nchi kama vile kongo linaporwa mali na wahalifu,kumbe ni
kajikisiwa tu ambacho hata km 100 hakifikii,sasa kama mngepewa kisiwa kikubwa kama Madagasca si mngekuwa mnatembea uchi duniani mkilalamika!!?? mbona hata sisi kisiwa kipo mafia ukubwa unakimbizana tu na znzbar na waswahili ni walewale tu!! wacheni kasumba waznzbr wote ni wabara tu watake wasitake.
 
I am missing your point here boss! Unakusudia kusema kitu gani?
 
Zanzibar's communities Uk & USA

amnesty-564x272.jpg

Amnesty International
1 Easton Street
London
WC1X ODW
UK
REF: HUMAN RIGHTS ABUSE IN ZANZIBAR ISLAND
Recent developments in Zanzibar show that the authorities there have taken a big step backwards in terms of human rights. Rampant and deplorable human rights abuses came to light during a series of events which led to confrontations between the police and followers of an Islamic organisation called UAMSHO (Awakening).
UAMSHO, a registered NGO, has been active in Zanzibar for a number of years now. In addition to its religious activities, it has taken part in observing elections, has produced well-researched reports on past elections and has provided civic education to the populace. The organisation has a wide grass root support within the community. Recently it has been actively championing for the restoration of Zanzibar's sovereignty.
The government has accused it for inciting its followers to commit unlawful activities. UAMSHO denies it and has on its part accused government security apparatuses of inflicting harm on its followers during their peaceful demonstrations. This pattern of accusations and counter accusations culminated last month with the three day mysterious ‘disappearance' of a charismatic leader of UAMSHO, Sheikh Farid Ahmed Hadi. UAMSHO maintained that the Sheikh was abducted by the security forces, a charge which the government denied.
However, when Sheikh Farid resurfaced he too intimated that he had been abducted by the security organs. The government's response was to promptly arrest him together with his fellow leaders and to charge with several criminal offences. This came as no surprise as for weeks rumours were rife that the government was under pressure by diehards of the Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania's ruling party, to ban UAMSHO. It is not our intention to judge the merit or demerit of the case as it is sub-judice.

What is troubling us is the well prepared measures to humiliate all the detainees connected with UAMSHO. By their actions the state organs have shown that they are bent on humiliating and dehumanizing the UAMSHO detainees. For example, despite knowing very well how Muslims sheikhs cherish their beards the sadist jailers have found it proper to forcefully shorn them of their beards. They did it even before the accused were brought to court for the first time. Defence lawyers have publicly complained of other forms of mistreatment meted out to the detainees. These include, denying them the opportunity to offer their obligatory prayers, denying them a change of clothes since their arrest and inhuman prison conditions. No doubt the jailers what they do to satisfy their primitive sense of power, to show Zanzibaris that they are capable of doing whatever they want to do and nobody can question them.
It is sad to note that the government has remained silent to all these injustices. The detainees constitutional rights are denied. The protests of their lawyers have fallen on deaf ears. In the meantime, indiscriminate harassment of ordinary citizens continues unabated. All those suspected of being sympathetic to UAMSHO are publicly brutalized. It reminds us of the dark days of Zanzibar when there was no respect for human rights.
We, therefore, appeal to all human rights activists to urge the Tanzanian and Zanzibar governments to impress upon their state organs the urgent need of according each and every citizen their human rights.
Copy:
Human Right Watch – UK
High Commissioner of United Republic of Tanzania – UK
High Commissioner of Republic of Kenya – UK
High Commissioner of Uganda – UK
Ban Ki-moon Secretary-General of the United Nations.[/QUOTE

Nadhani hujui maana ya Human Rights. Una maana hao Uamsho ndio kipimo chako cha hiyo Human Rights au unataka kutuambia kwamba wao ndio Binadamu zaidi ya wengine.Usituletee mambo ya Animal Farm Ambapo Nguruwe waliona ni More Equal Than Others.So think before you Write.
 
Hao waarabu wanaowachochea kuna siku tutapata rais mkorofi watajuta kujichanganya na wabara, zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano takeni msitake huo ndo ukweli mchungu.

Mapinduzi ya znz yalikuwa yakumgo'a mwarabu ambae alitufanya watumwa leo wanarudi kimya kimya!
Serikai ichukue hatua dhidi ya hao wapuuzi.
 
Wewe justice gani unayotetea
ikiwa hutaki sheria ifuate mkondo wake? Kama wamechoma makanisa, si
wameshakamatwa na uchunguzi wa polisi bado haujakamilika, kwanin
unawahukumu kabla ya kuestablish kama ni kweli au la? Kama wana uhakika
ndio wao, si wawafunge badala ya kuendesha kesi?

Nyie hamkuwa na hamjawahi kuwa na"peaceful demenstration" na wala hamtakuja kuwa nayo! mmejaa chuki na ubaguzi mtupu dhidi ya imani nyingine na hamna hata ujirani mwema! mmemchinja askari wenu na mnamjua waziwazi! mmechoma makanisa ofisi za ccm ndio mnaamsha nini sasa mioyoni mwa wafuasi wenu? acheni ujinga!
 
Nani atawasikiliza nye magaidi,andikeni barua hata kuzimu.
 
Nyie hamkuwa na hamjawahi kuwa na"peaceful demenstration" na wala hamtakuja kuwa nayo! mmejaa chuki na ubaguzi mtupu dhidi ya imani nyingine na hamna hata ujirani mwema! mmemchinja askari wenu na mnamjua waziwazi! mmechoma makanisa ofisi za ccm ndio mnaamsha nini sasa mioyoni mwa wafuasi wenu? acheni ujinga!

Weka wazi kipimo cha ujinga ulichotumia kupima ili watu wenye akili waamue ni nani mjinga! Naona unahemka kwa chuki ulizokuwa naza. Kinachosemwa hapa i kuwa, hata kama kuna mtu unamtuhumu ni muuaji, sheria inataka achukuliwe kama ni mtuhumiwa na innocent mpaka itakapothibika otherwise. Wewe unapinga nini?
 
Hivi hawa watu ndio leo wanagundua kuwa kuna Human rights ktk kupigania madevu??? bull sh*t!! wakati wanaua na kuchoma makanisa na kutifua makaburi ya wakristu kule zenji walikuwa hawagundui kuwa wanaenda against the human rights laws! who the hell do they think they are?
 
Weka wazi kipimo cha ujinga
ulichotumia kupima ili watu wenye akili waamue ni nani mjinga! Naona
unahemka kwa chuki ulizokuwa naza. Kinachosemwa hapa i kuwa, hata kama
kuna mtu unamtuhumu ni muuaji, sheria inataka achukuliwe kama ni
mtuhumiwa na innocent mpaka itakapothibika otherwise. Wewe unapinga
nini?

Mngekuwa mnaijua ki ukweli hi"presumption of innocence" msingetoa hukumu ya kuchoma makanisa na kuchinja watu waziwazi! au nyie mna haki ya kufanya hayo sio? unataka presemption of innocence at the same time your taking the law on your own hand! what parthetic ideas are you trying to bring about!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom