Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Siku zote ukiamini kuwa wewe ndio brain yako is working na wengine ni vichaa ndio tatizo lake. Tunachosema, wale sio wafungwa ni mahabusu na wanatakiwa kuwa terated in the same way kama kahabusu wengine kulingana na mazingira yaliyopo huko. Kama mahabusu wengine wanahusiwa kubadilisha nguo, kwanini wao wasipewe hiyo haki, kama wana haki ya kuletewa chakula, kutembelewa, kuchanganyika n.k kwa nini wao wasipewe hizo haki?
Tatizo inapotea ukawa partial, huwezi ukajadili uhalisia wa jambo kama mlivyo nyie ndio maana siku moja hii nchi mtakuja kuitia vurugu isikalike na nyie wote muwe wakimbizi.
Mkuu si kama mimi ndio nina brain inayofanya kazi kuliko wengine. Unatakiwa kujua kuwa wahalifu na mahabusu hawako sawa, status za ufungwa wao na umahabusu wao zinategemea tuhuma au kosa.
Sidhani kama mtuhumiwa wa kosa la wizi wa kuku anatendewa sawa na mtuhimiwa wa uhaini, mauaji,ujangili au ujambazi. Sawa na ilivyo kwa mfungwa wa kosa la udokozi na uuaji. Ukweli ni kwamba watu hao hawatendewi sawa, hiyo ndio hali halisi.
Kusema kuwa mtuhumiwa wa vurugu na mauaji atendewe sawa na mdokozi haiingii akilini hata kidogo