Barua ya US Congress kwenda WHO wakiituhumu kushirikiana na China kusambaza virusi vya corona

Huo utawala wa Republicans unaenda kuanguka vibaya sana walijua kirusi kipo badala ya kuchukua tahadhari Raisi wao akaanza blablah

Huu sio wakati wa kutafuta wachawi huu ni wakati wa kupambana na mdudu halafu ndio Blahblah zianze
 
Tutajua tu mlikua mnalengo gani virusi mnatengeneza kuua binadamu wenzenu the thunder storm that will strike giant nations is still warming shame on you. Ila icho kimalikia balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA sasa wanaona aibu kwa kushindwa kabisa kucontrol spread ya COVID-19 nchini mwao sasa wanatafuta mchawi. Wachina walicontain kwa muda mfupi sana na haikuspread kwenye majimbo mengi wakati USA inaendelea spread kwa kasi ya ajabu wakati huwa wanajisifu ni super power country.
mchuma janga hula na wa kwao. Walivyo ligema watalinywa
 
Mchina anaweza kuwa na siri ya jando ambayo anachoweza kumsaidia mzungu ni yeye kuingia site na kupambana na korona ulaya na marekani, na hili trump alishakiri kwamba China anaweza kuwa mshirika muhimu katika mapambano ya korona baada ya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuthibiti kuenea kwa ugonjwa kwao..
 
Tunashuhudia Marekani akiandika barua huku analia lia, maisha yanakwenda kwa kasi mno.
tunaoteseka ni sisi ambao kwa asilimia kubwa tunategemea misaada toka kwa mabeberu halafu wakati huohuo chama chetu tukufu kina urafiki wa kihistoria na wachina.
 
Wachina si wakuchekea wameiletea dunia mtihani sana.Mimi nashauri UN wawape adhabu walipe fidia mataifa yote. Kwa hatua ya maendeleo China walipaswa kuzuia maambukizi kwingineko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunaoteseka ni sisi ambao kwa asilimia kubwa tunategemea misaada toka kwa mabeberu halafu wakati huohuo chama chetu tukufu kina urafiki wa kihistoria na wachina.
Hao Wakenya wenye urafiki na ma
tunaoteseka ni sisi ambao kwa asilimia kubwa tunategemea misaada toka kwa mabeberu halafu wakati huohuo chama chetu tukufu kina urafiki wa kihistoria na wachina.
hao wakenya wenye urafiki na mabeberu nani anawasaidia kipindi hiki wana njaa
 
Vyovyote iwavyo.

America na China wote inabidi waadhibiwe vilivyo na Ulimwengu.

Mmarekani baada ya kuona kwake kumeathirika zaidi ndo kaja na biti hili.

Wanyooshane wenyewe.
 
FB_IMG_1585407743043.jpg 😀😆😀
 
Back
Top Bottom