Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

Status
Not open for further replies.
Demotion ilitokana na piece ya balozi wa Palestina,labada tungeangalia article ya hyo balozi inazungumzia nini ndiyo tuone wapi Mzee Mengi alipotoka,otherwise kumlaumu Mzee mengi kama ana ties na Israel kwenye biashara zake huku gazeti lake likiandika makala zinazohatarisha mustabali wa Israel sio Fair wala objective,Tuone ni kwa jinsi gani article ya Balozi ilikuwa Objective then tuanze kulaumu.Mwl.Nyerere (R.I.P) kwenye issue ya Palestine na Israel alichemsha sana kwenye maamuzi yake asifanywe standard measure ya maamuzi bora katika kuuangalia mgogoro wa palestine na Israel.
 
Huyu demu hana lolote ni mpenda kujikweza tu. Kweli ********* ni ********* tu. hawana shukrani hawa. Kwanza ilibidi amshukuru Mengi kwa kumwokoa baada ya kutimuliwa kule Mwananchi. Yeye anadai eti alijiuzulu. Thubutu!
 
Eti anajidai alijiuzulu wakati walishamtimua tu kule Mwananchi. Anapenda kujikuza sana hana lolote. Halafu ukiona nanma ambavyo ameandika barua ya kinyigu ni kuwa anataka pia kuwakosanisha wafanyakazi na Mengi ili mwishowe utendaji uwe mbovu na IPP media ife. Huyu Sakina alitumwa na mafisadi huyo. Nilishasema tena na ninarudia tena kuwa FISADI yoyote Tz kama akiambiwa aorodheshe Media house anayotaka ichomwe moto katika list za za priority IPP media itakuwa ya kwanza.

Cha msingi Mengi naye apate fundisho kuwa asiajiri tu mtu ni mtu hasa katika higher positions!!!! Wengine wanatumwa kama Sakina na kazi yake ameshaifanya amemaliza. Hili ni JASUSI la mafisadi hili. Pole mzee wetu Mengi.

Sasa Sakina sijui umesharipoti Habari Corporation (2006) Ltd au bado??? Au unasubiri utuzugezuge halafu uende kimya kimya huko. Halafu unajifanya makini wakati Resignation letter ni upupu ya masifa na kuonyesha kuwa ulikuwa kichwa??? Learn how to write short and consice letters, iwe ya kuomba ajira au resignation. Kama ulikuwa na burning issues zako ziandike separately and attach to the letter as annex(es). Huna lolote na huko utakapokwenda utatimka tu, hujatulia. Halafu tena umekuwa passive sana kwa kuongelea issues za mafisadi kwa kuwa eti hutaki attack personalities. Lo kumbe nimesahau wewe si mzalendo, bibi na babu zako wako nje ya mipaka ya Tz.

Mzee Mengi usiogope, hayo ni mambo madogo tu. Weka mambo na kina Mshana maana naona huyo jamii ya kiasia, kisingasinga, kihabesh, kininiiiiiiiiiii.... anataka kutuharibia ule ujamii wetu wa kitanzania.
 
Dada Sakina angalia kama kuna uwezekano wa kufanya kazi na akina Jenerali Ulimwengu. Huku kungine kumeooza. Hakuna MAADILI ni MADILI tu.
 
we acha mambo ya kibaguzi, zama za kubaguana kwa rangi sio nzur wala za kuigwa hata kidogo. aliyekuambia ametumwa na wakina manji nani? nyie ndo mafisadi wenyewe, mtu anasema fact we unasema ametuma, na we tukiswma umetumwa atasemaje? kuwa wa kisasa ngudu.
 
Eti anajidai alijiuzulu wakati walishamtimua tu kule Mwananchi. Anapenda kujikuza sana hana lolote. Halafu ukiona nanma ambavyo ameandika barua ya kinyigu ni kuwa anataka pia kuwakosanisha wafanyakazi na Mengi ili mwishowe utendaji uwe mbovu na IPP media ife. Huyu Sakina alitumwa na mafisadi huyo. Nilishasema tena na ninarudia tena kuwa FISADI yoyote Tz kama akiambiwa aorodheshe Media house anayotaka ichomwe moto katika list za za priority IPP media itakuwa ya kwanza.

Cha msingi Mengi naye apate fundisho kuwa asiajiri tu mtu ni mtu hasa katika higher positions!!!! Wengine wanatumwa kama Sakina na kazi yake ameshaifanya amemaliza. Hili ni JASUSI la mafisadi hili. Pole mzee wetu Mengi.

Sasa Sakina sijui umesharipoti Habari Corporation (2006) Ltd au bado??? Au unasubiri utuzugezuge halafu uende kimya kimya huko. Halafu unajifanya makini wakati Resignation letter ni upupu ya masifa na kuonyesha kuwa ulikuwa kichwa??? Learn how to write short and consice letters, iwe ya kuomba ajira au resignation. Kama ulikuwa na burning issues zako ziandike separately and attach to the letter as annex(es). Huna lolote na huko utakapokwenda utatimka tu, hujatulia. Halafu tena umekuwa passive sana kwa kuongelea issues za mafisadi kwa kuwa eti hutaki attack personalities. Lo kumbe nimesahau wewe si mzalendo, bibi na babu zako wako nje ya mipaka ya Tz.

Mzee Mengi usiogope, hayo ni mambo madogo tu. Weka mambo na kina Mshana maana naona huyo jamii ya kiasia, kisingasinga, kihabesh, kininiiiiiiiiiii.... anataka kutuharibia ule ujamii wetu wa kitanzania.

Ukiona mtu anashambuliwa kwa maneno ya chuki, kashfa, matusi na hata kufikia kukejeli uraia wake ujue huyo amesimama katika mstari wa haki ndani ya jamii inayosujudia RUSHWA....

Inaelekea Sakina alikuwa akiwaharibia wengi ulaji wao kule kama ilivykuwa mwananchi. Masikini Mzee Mengi, una kazi kubwa kulinda utajiri wako ukiwa umezungukwa na wanafiki na wezi wenye roho za chuki kama hawa...

omarilyas
 
Huyu demu hana lolote ni mpenda kujikweza tu. Kweli ********* ni ********* tu. hawana shukrani hawa. Kwanza ilibidi amshukuru Mengi kwa kumwokoa baada ya kutimuliwa kule Mwananchi. Yeye anadai eti alijiuzulu. Thubutu!

Hii typical utanzania hovyohovyo uliojengwa na mfumo fisadi wetu. Mtu akiwa pro-active, innovative, confident, ethical, competent daima atashambuliwa na magoigoi, wanafiki, wazandiki, wasiojiamini kuwa ni mpenda kujikweza. Haya yapo kuanzia majumbani mwetu hadi vibaruani kuanzia uongozi wa kata hadi ofisi ya rais...

Vilevile si ajabu kuona mtu kama huyu anaanza kulalama ohh wahindi wabaguzi, oo wazungu ni wabaguzi, ooh wakenya ni wabaguzi wakati yeye mwenyewe anaendelea kutema cheche za ubaguzi kama ndugu yangu huyu anavyofanya hapa.

Na kwa taarifa yako SAKINA alijiuzulu baada ya kushushwa cheo kwa ushawishi wa AGA KHAN mwenyewe kutokana na malalamiko ya aliyekuwa waziri wa fedha enzi hizo Mama Zakia Meghji kutokana na taarifa alizokuwa akizitoa magazetini ambazo mama yetu huyu aliona kuwa zinampakazia (kama ni kweli ama uongo hayo wanajua wao wawili).

Hata hivyo SAKINA hatoki katika familia zetu za kubahatisha maisha na wala hakuapata kazi yake kama KANJANJA kama wengi wenu mlivyo bali alikuwa na uwezo wake na tayari with international recognition ya CNN ambayo wengi wenu hata kupeleka kazi zenu mnashindwa. Iwenje katika kama hali hiyo udaia kuwa Mengi alimuokoa...

Omarilyas
 
Ndugu Kim,
Inawezekana kabisa ukawa na akili timamu lakini fikra changa ndio maana ukahukumu kwa kuzingatia upande mmoja. Hivi kweli magazeti ya Mengi hayajasaidia kabia nchi hii katika kuandika mazuri na mabaya katika nchi yetu?

Unataka kuniambia kwamba hakuna kabisa uhuru au ni laghai za mwanadada ambaye mchangiaji Prince William amewahi kumuelezea kwa kina sana? Unamjua sakina? Yeye na Mengi tofauti zao ni ngozi tu lakini tabia zinafanana.

Kama Sakina amekuwa kwenye media miaka minane na mwaka jana akahama Mwananchi Kwa Madai Kwamba hakuna uhuru, akakimbilia IPP, je huko alidhani kuna uhuru anaoutaka yeye? Lakini Sakina hasemi ukweli katika hili. Uhuru ni upi? Kwake uhuru ni kusema Marekani ni taifa la Magaidi, na Irani ni nchi tukufu?

Sakina alienda Iran Mwaka huu kwa kazi maalumu. Analipwa na Ubalozi wa Iran kupambana na kile kinachooitwa propaganda za wamarekani Africa, na aliye mrecruit ni afisa usalama wa Taifa wa Iran aliyekuja nchini Mwaka jana mwezi August. Sasa katika professionalism ya Journalism, huwezi kuwa mwandishi kama tayary wewe ni agent.

Mimi ninanchokijua ni Kwamba sakina ni Mwanaharakati na hajawahi kabisa kuwa Mwandishi makini. Ameua story ngapi za Mohamed Enterprise akiwa Sunday Citizen? Kwani hili halikuwa kinyume na maadili? Mara ngapi alihongwa pale Moven Pick na CEO wa Alex Sterwart aliyepanda ndege toka Marekani kuja kumuona hapa ili kumzima asiishambulie kampuni yake katika gold auditing Program. Alipewa dola kiasi kikubwa tu na Dr. Sagura, na walizungmzia chumbani, lakini ambacho hakujua ni kwamba inteligency walibag kile Chumba kwa sababau zao tu binafsi.

Huyu huyu Sakina alipanda ndege Kwenda Arusha kuonana na Bosi wa Tanzanite One na aliporudi stori ikafa. Wote ni mafisadi tu ila wamezidiana kete labda yeye mgumu kidogo kuanchia vitu,.
 
Omary la Aghakan ni uongo fanya utafiti. Sakina alijiuuzulu baada ya management kumgomea kupeleka mwandishi kipenzi chake, Joyce Kisaka, Butiama na akaona ameingiliwa na Makunga, Bakari na Sam Sholei.

Cha ajabu huyo huyo Joyce ndiye kafanya ujasusi na kummaliza kwa kutoa siri zao zote kwa wakubwa wa IPP. Sakina alionywa mara nyingi sana kwamba kama ataendelea kumkumbatia Joyce ataumia yeye akakomaa na kumuita mwandishi star, sasa mwisho ndio huu.

Joyce ni Nyoka, kamaliza kazi akapewa mapumziko UK, na sasa yuko Dodoma anajiuza sambamba na kufanya ujasusi wake. Huyu dada alikamatwa ameiba South Africa kwenye Supermarket akiwa shule akarudishwa hapa Mwaka 2006 August na Mwananchi wakataka afukuzwe kazi, lakini Sakina na Nyaronyo Kicheeere wakasimama kidete na kumtete sana.

Lakini baadaye akampiga Nyaronyo jungu kwa Sakina kwamba kala dola 10,000 kwa Vimal Patel wa Serengeti Breweries na pia mchoraji wa Majengom pacha ya BOT. Sakina akamkataa Nyaro kama News Editor, baadae Mkurya akahama akakimbilia This Day na Kulikoni.

Nina data nyingi lakini time.
 
Omary la Aghakan ni uongo fanya utafiti. Sakina alijiuuzulu baada ya management kumgomea kupeleka mwandishi kipenzi chake, Joyce Kisaka, Butiama na akaona ameingiliwa na Makunga, Bakari na Sam Sholei.

Cha ajabu huyo huyo Joyce ndiye kafanya ujasusi na kummaliza kwa kutoa siri zao zote kwa wakubwa wa IPP. Sakina alionywa mara nyingi sana kwamba kama ataendelea kumkumbatia Joyce ataumia yeye akakomaa na kumuita mwandishi star, sasa mwisho ndio huu.

........Huyu dada alikamatwa ameiba South Africa kwenye Supermarket akiwa shule akarudishwa hapa Mwaka 2006 August na Mwananchi wakataka afukuzwe kazi, lakini Sakina na Nyaronyo Kicheeere wakasimama kidete na kumtete sana.

Lakini baadaye akampiga Nyaronyo jungu kwa Sakina kwamba kala dola 10,000 kwa Vimal Patel wa Serengeti Breweries na pia mchoraji wa Majengom pacha ya BOT. Sakina akamkataa Nyaro kama News Editor, baadae Mkurya akahama akakimbilia This Day na Kulikoni.

Nina data nyingi lakini time.

Haya naweza nikachukua muda wangu kuyachunguza ukweli wake lakini sio huo upupu uliomwaga katika thread ya hapo juu. Naona mmeamua kutumia IDARA sasa kuendelea kumlinda MDAU MWENZENU Mzee Mengi.

Ukweli ni kuwa siyo kuwa makala ile ilikuwa mbaya sana kwa waisrael bali hiyo na ile hatua ya Balozi kwenda kumuona yeye na kupiga picha naye bila ya kumuona mengi ndiyo iliyoripua bomu ambalo lilikuwa njiani kuripuka.

Mengi alikuwa karibu sana na ubalozi wa Palestina kwa miaka mingi. Lakini ukweli ni kuwa hapo mwanzoni Waisrael walikuwa hawajajipenyeza katika maslahi yake kama ilivyo katika maslahi mengi ya serikali zetu za sasa baada ya Mwalimu. Na hapo mwanzoni Waisrael walikuwa wakiogopa kutumia STICKS kuenfluence mambo hapa Tanzania kutokana na historia yetu nao. Katika miaka ya hivi karibuni baada ya kujitengenezea LEVERAGES kadhaa na pia kutokana na misimamo ya serikali zetu siku hizi kuhusiana na suala la Wapalestina na Waisrael na kwa msaada wa wansiasa kama NYALANDU ambaye ndiye kinara wa maslahi yao kisiasa bungeni, wamekuwa na tabia ya kutishia na hata kusabotage maslahi ya baadhi ya watu akiwemo Mengi ambaye biashara zake zina ukaribu sana na mitandao ya Waisrael.

Najua kuwa wapo katika IDARA wanaona kuwa MENGI alikuwa anaonewa na MAFISADI wa enzi za UKWELI NA UWAZI lakini hilo halifanyi kuwa pale anapokosea basi anyamaziwe eti ni mwenzetu katika mapambano. Hatuwezi kuendeleza hilo kwanitutaishia kuruka mikojo kukanyaga kinyesi ama kitu kingine kibaya zaidi.

omarilyas
 
ehh bwana kazi ipo...lazima kuna lots of unknown agenda lakini time will tell na ukweli utatoka tuu..asante sana kwa data hizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom