Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

kuna watu wametuchafua sana ccm, wametumia mwanvuli wa chama vibaya, tukapakwa matope, sidhani kama katibu ccm ambaye ndiye mwenye chama aliombwa ridhaa na sabaya kukusanya fedha toka kwa wafanyabiashara ili kuzungumzia mafanikio ya sabaya na ccm wilaya ya hai....umeona yaliyokuwa yanaendelea kwa kivuli cha nafasi yake ya ukuu wa wilaya....mtu hatari sana ndio wauwaji wa chama hao....analeta uumiani kwa wananchi hadi wamejaa chuki kwa nchi na chama
 
Haya mambo ya appointment aliyaweza Hayati Mwl. J K Nyerere, alikuwa anachunguza sana watu anaowapa nafasi za uongozi
Na hao waliofuatiliwa wengi wao walifilisi vyama vya ushirika na mashirika ya umma wakayaacha hoi taabani... ukiangalia waliofanya kazi ugawaji, national milling, rtc, uda, kamata, gapex na..... ila tujisahaulishe historia ili watukufu watukuzwe... ndio maana Mwalimu mwenyewe aliandika "TUJISAHIHISHE..." Tatizo letu ni katiba na sheria maana wahujumu waliomo maofisini wanalindwa sana...
 
Wizi mtupu! Yaani upuuzi nibwa kwako mwenyewe, halafu unataka uchangiwe! Na ukigoma, anakuvamia usiku na kukubambikia kesi za uhujumu uchumi! Shenzi kabisa.
Umasaini hakunaga wizi wa hela... wenyewe huwa wanarejesha "ng'ombe kwa boma!!" Ndio maana mijini walijijengea uaminifu na kuwa walinzi... sasa ukikuta masai mwivi huyo ana laana na ni jambazi poraji kabisa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom