Barua ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akijibu tuhuma dhidi yake. Aituhumu CHADEMA kwa double-standard

Status
Not open for further replies.

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
Saed Kubenea amepangua hoja mbalimbali alizotuhumiwa na Chama chake cha CHADEMA, zikiwemo za:
  • Kutoa maneno ya kashfa kwa Viongozi wa Chama (Masonga na Halima Mdee).
  • Kupotosha maamuzi halali ya BAVICHA.
  • Kuzusha migogoro ndani ya Chama kupitia "Friends of BAVICHA" la WhatsApp.
  • Utetezi wa kwa nini asivuliwe Cheo cha Makamu M/kiti Kanda ya Pwani.
Kubenea amezipangua moja baada ya moja na kumalizia kwa utetezi dhidi ya hoja ya kutaka kumvua madaraka ya Makamu M/kiti Kanda ya Pwani, ambapo alisema kuwa, "Katika mambo yote unayohoji, hakuna kokote ambako nimetenda kosa ambalo linastahili kuchukuliwa hatua."

Hata hivyo, kwa kuzingatia maudhui rafiki ya waraka wako na kwa kuzingatia kuwa, ndani ya Chama chetu kwa sasa kumejitokeza makundi na kwa bahati mbaya, baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu, kwa malengo na sababu wanazozijua wao binafsi, wamekuwa mahasimu wangu wa kisiasa; na wamekuwa wakiniandama bila sababu na kwamba hata msingi wa tuhuma hizi umetokana na wao.

Kwa sababu hiyo, kwa kuwa wao ni Viongozi, itakuwa vigumu mimi kuendelea kuwa Makamu M/kiti wa Kanda katika mazingira yaliyosheheni chuki, visasi, upendeleo na magomvi; niruhusu nijiuzulu nafasi hiyo ya uongozi kuanzia leo tarehe 28


IMG_8155.JPG


IMG_8157.JPG
 

Attachments

  • IMG_8158.JPG
    IMG_8158.JPG
    17.9 KB · Views: 11
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom