Barua ya kuomba kazi iliyovunja rekodi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya kuomba kazi iliyovunja rekodi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by patience96, Oct 3, 2011.

 1. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Barua ya kuomba kazi iliyovunja rekodi.
  Angalia kiambatanisho
   

  Attached Files:

 2. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Duh...ADOBE READER INAHTAJIKA.:)
   
 3. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa anaonyesha anaweza kuzungumza ila kuandika ndio tatizo maana maneno yanaleta maana tatizo spellings tu
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sidhani ka hata kuzungumza anaweza huyu bwana mnnnh kwa hii ngeli,kingereza ni ka vita mwisho hujing'ata ulimi
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahaaaaaa, hii ni kali na ahsante kwa kunipa sababu ya kucheka na kutoa uchovu wa kutwa nzima.....hii tamu sana

  Anyway, alipata barua hii atakuwa kapata ujumbe na ningemchukua bila hata interview, jamaa mkali
   
 6. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  english is not our mother land
   
Loading...