Elections 2010 Barua ya kuchakachuwa imekamatwa..jamani tunaibiwa wazi wazi..brkng nyuuuz

Van Walter

Senior Member
Jun 16, 2009
171
12
jamani embu someni barua zilizosambazwa na halmashauri kufuatia kikao cha kikwete na rostam ziz na makada wengine wa ccm kuhusiana na kuchakachuwa matokeo.
 
Mkuu uko nyuma ya tarehe vibaya sana....iko hapa jf.....and its a hoax!
 
yarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kumbe tulidhani ameachana na mafisadi kumbe........................mama yangu.haki tena ni mepandwa na jazba miye,nitajitoa muhanga kama mambo menyewe ndo hivi.
 
Kaka kumbe ngoma hii mliikamata muda tu.. Daa kweli ccm was*&%$nge itabidi daktari wa ukweli slaa aliongelee hili. Hawa ccm wanataka damu imwagike. Halafu huyu rostam mhindi damu ikimwagika atakimbilia kwao..mk%$#^ndu wake mchafu
 
Pole sana ulikuwa umesafiri nini?
 
Mkuu futa hii kitu inawatiwa watu mzuka wakukimbilia hii thread, kumbe ni issue ya Zamani kabla ya uchaguzi, watu wamesha ijadili hapa zamani.
 
Kaka kumbe ngoma hii mliikamata muda tu.. Daa kweli ccm was*&%$nge itabidi daktari wa ukweli slaa aliongelee hili. Hawa ccm wanataka damu imwagike. Halafu huyu rostam mhindi damu ikimwagika atakimbilia kwao..mk%$#^ndu wake mchafu

Dr. Slaa alishaliongelea hili Mbeya; tena kwa kirefu kwa kumtaka mhusika akanushe.....
 
Back
Top Bottom