Barua ya kuchakachuwa imekamatwa..jamani tunaibiwa wazi wazi..brkng nyuuuz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya kuchakachuwa imekamatwa..jamani tunaibiwa wazi wazi..brkng nyuuuz

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Van Walter, Nov 2, 2010.

 1. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jamani embu someni barua zilizosambazwa na halmashauri kufuatia kikao cha kikwete na rostam ziz na makada wengine wa ccm kuhusiana na kuchakachuwa matokeo.
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mkuu uko nyuma ya tarehe vibaya sana....iko hapa jf.....and its a hoax!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ya zamani sana hii, tuliipata kabla ya uchaguzi!...pole!
   
 4. r

  rassadata Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  yarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  kumbe tulidhani ameachana na mafisadi kumbe........................mama yangu.haki tena ni mepandwa na jazba miye,nitajitoa muhanga kama mambo menyewe ndo hivi.
   
 5. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka kumbe ngoma hii mliikamata muda tu.. Daa kweli ccm was*&%$nge itabidi daktari wa ukweli slaa aliongelee hili. Hawa ccm wanataka damu imwagike. Halafu huyu rostam mhindi damu ikimwagika atakimbilia kwao..mk%$#^ndu wake mchafu
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Pole sana ulikuwa umesafiri nini?
   
 7. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu futa hii kitu inawatiwa watu mzuka wakukimbilia hii thread, kumbe ni issue ya Zamani kabla ya uchaguzi, watu wamesha ijadili hapa zamani.
   
 8. W

  We can JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dr. Slaa alishaliongelea hili Mbeya; tena kwa kirefu kwa kumtaka mhusika akanushe.....
   
Loading...