Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FAKE NEWS, May 19, 2017.

 1. FAKE NEWS

  FAKE NEWS Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 25
  Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
  418f810e-db0d-4fd7-ae51-0938f5f2d477.jpg
   
 2. Nsibhwene

  Nsibhwene JF-Expert Member

  #141
  May 19, 2017
  Joined: Dec 8, 2016
  Messages: 278
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Kutukanwa ni nini. Watu wasio hatia wanchinjwa, wanuawa. Na sasa kibiti watu wanuawa kila uchao na wenye imani butu.
  Na laiti kwa mwenendo wake Kama angekuwepo sidhani Kama Taifa lingekuwa hili tulilonalo sasa. Aliligeuka Taifa.
  Sikubaliani na dhuluma dhidi ya kundi lolote lakini pia sitaki kuamini kwamba hamtaki kuona kuwa historia ndio iliyoleta madhara makubwa kwa Jamii ambazo mwarabu alizipitia. Na laiti kama tutakubaliana kurekebisha hili, ambalo kwa hakika kwa sasa kuna juhudi kubwa zinafanyika kuboresha Shule za seminary za kiislam. Hii itasaidia sana sana kuweka uwiano katika maeneo mengi ya kiutawala.
  Tuangalie tulipojikwaa sio tulipoangukia.
  Mwisho, tunahitajiana sana na hatuna sababu ya kutunishiana misuli. Tanzania ni yetu sote. Tumezaliwa hapa na tutazikwa hapa. Mungu wabariki watanzania wote pasipo kujali imani zao maana wote wanatafuta njia sahihi ya kukufikia. Amen
   
 3. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #142
  May 19, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 12,109
  Likes Received: 16,438
  Trophy Points: 280
  Acha Ushamba

  Kifo Sio adhabu kingekuwa adhabu Watu wema wangeishi Milele
   
 4. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #143
  May 19, 2017
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,329
  Likes Received: 7,469
  Trophy Points: 280
  kwahiyo God akamuona malima ni hatari kuliko hata kina Baghdad au kina bush?,


  mawazo yako yakikulima sana mkuu,tena alieshia darasa la tatu.

  Malima alikufa kwa ugonjwa kama wanavyokufa viumbe wengine,

  wazo kuwa eti mungu aliona anawaradicalise watu akaamua kumchukua ni wazo la kijinga sana na la mtu asie na elimu wala uelewa wa mambo,
  of all the people dunia hii ndo mungu wako akamchagua malima?,
   
 5. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #144
  May 19, 2017
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,329
  Likes Received: 7,469
  Trophy Points: 280
  na wewe umeona pumba zake..jamaa yuko too low,
  watu kama hawa wanafaa kule facebuk,huku anajichoresha na kuonyesha upstair ni empty
   
 6. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #145
  May 19, 2017
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,329
  Likes Received: 7,469
  Trophy Points: 280
  na wewe umeona pumba zake..jamaa yuko too low,
  watu kama hawa wanafaa kule facebuk,huku anajichoresha na kuonyesha upstair ni empty
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #146
  May 19, 2017
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,329
  Likes Received: 7,469
  Trophy Points: 280
  ala..!!kumbe wewe ndo uko radicalised maana hata unachoongea hasa hakieleweki,
  hebu futa povu ongea kwa hatua na utuwekee hizo tuhuma tuzione maana unaenda holela hueleweki
   
 8. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #147
  May 19, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 12,109
  Likes Received: 16,438
  Trophy Points: 280
  Zamani zamani kweli, Kiongozi Mkubwa Kama Governor akazikwe Malapa?

  Siku hizi wasiotaka kuzikwa Vijijini kwao Kama Muslim unazikwa Makaburinya Kisutu na Christian Kinondoni

  Makapuku wanaambiwa Makaburi yamejaa lakin kila Siku Watu wanazikwa!
   
 9. Terrible Teens

  Terrible Teens Member

  #148
  May 19, 2017
  Joined: May 6, 2017
  Messages: 48
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 25
  Jk lol, R.I.P Malima
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #149
  May 19, 2017
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,858
  Likes Received: 1,637
  Trophy Points: 280
  Wakati huo Rais akiitwa Mtukufu Rais. Ila nakumbuka Rais Mwinyi alipoingia madarakani alipiga marufuku kuitwa Mtukufu.
   
 11. filadelifia toto

  filadelifia toto Member

  #150
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 59
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Ndivyo walivyo aminishwa, hawawezi badirika ,hadi vizazi vyao vitaamini hivyo.
   
 12. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #151
  May 19, 2017
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,606
  Likes Received: 6,695
  Trophy Points: 280
  Pana mengi ya kujifunza waqt umeenda wapi?
   
 13. S

  Scropion_Master Member

  #152
  May 19, 2017
  Joined: Jan 8, 2017
  Messages: 83
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 25
  Only Julius K. NYERERE..Ndo anaweza kumatch uwezo wa kisiasa wa Jk..He is the master of Tz politics.
   
 14. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #153
  May 19, 2017
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,964
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  Hili suala la namba kwenye mitihani naona lina ushabiki usio na ukweli. Hivi unajua namba kwenye mitihani zilianza kutumika lini badala ya jina?
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #154
  May 19, 2017
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,964
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  Mkapa alipoingia ndiyo alikataa kuitwa Mtukufu. Mwinyi hadi anaondoka alikuwa akiitwa "Mtukufu Rais Ali Hassan Mwinyi".
   
 16. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #155
  May 19, 2017
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,954
  Likes Received: 3,682
  Trophy Points: 280
  Sio fadhila hiyo ni njia mmojawapo ya kummaliza adui yako,kumbuka licha ya kuwa na ugomvi huko nyuma lakini Mwandosya alimsaidia sana JK kupata kura nyingi sana Mbeya,nafikiri ndio mkoa ambao JK alipata kura nyingi sana
   
 17. n

  nguvu JF-Expert Member

  #156
  May 19, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,346
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  We mwehu walisepa wakina yesu tena kwa kifo cha aibu huku kavaa chupi sembuse kighoma malima!!
   
 18. ECONOMY

  ECONOMY JF-Expert Member

  #157
  May 19, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 361
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Kweli wewe jamaa unachuki mbaya sana.hufai hata kidogo kuwa mtanzani kilaza wewe.
   
 19. Dilekeni

  Dilekeni JF-Expert Member

  #158
  May 20, 2017
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 904
  Likes Received: 952
  Trophy Points: 180
  Unaposema ni mdini una maana gani?
   
 20. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #159
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,039
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  jamaa aliwabanaje serikali? kwani alishawahi kuwa waziri wa elimu? na enzi zile bunge chama kimoja kulikuwa kunakubanana kweli? hebu pitia vitabu vyako vya historia vizuri
   
 21. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #160
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,039
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  udini wa huyu jamaa she pondwa mchuchu tu
   
Loading...