Na wewe tueleze miaka kati ya 85-87 nani alikuwa waziri wa Elimu? Kama kuna member humu a likuwa mwalimu kipindi kile Morogoro, akumbuke tulivyoitwa Kilakala Girls na cheche alizotoa.jamaa aliwabanaje serikali? kwani alishawahi kuwa waziri wa elimu? na enzi zile bunge chama kimoja kulikuwa kunakubanana kweli? hebu pitia vitabu vyako vya historia vizuri